Young murrah
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 415
- 459
Habar wana jf Nimeitwa na hawa jamaa wa crdb kama IT naomba kujua take home salary ya IT Department. Naamini Maisha ni hatua tunapambana bahasha sizichoke Mungu yu nasi
Hongera na mshukuru Mungu pia ila kuwa makini na interview izi kwasababu mnaitwa watu watu 100 nafasi ni 3, please kazana kumuomba Mungu ndugu yangu.
we unaulizi mshahara kabla hujapata kazi??? are u serious??????
Mie sijui mshahara wao ila I wish you all da best ufanye poa kwenye interview
Habar wana jf Nimeitwa na hawa jamaa wa crdb kama IT naomba kujua take home salary ya IT Department
"Naamini Maisha ni hatua
tunapambana bahasha sizichoke Mungu yu nasi
take home..tsh.245,000.
hiyo take home mkuu ni per day.....!?per week..!?au
per month
per month
take home..tsh.245,000.
Mshahara wa kuanzia ,ulitaka uingie job M1?
Be careful pia..kwani crdb kuna watu wengi wanafanya internship na wanatabia ya kuchukua interns wao katika interview.Kwa hiyo kitakachotokea be careful ingawa I wish you the best.
stori za kijiweni hizi
take home..tsh.245,000.
Eti mkuu hvi Inaingia akilini 245,000/= IT department si bora niendelee kupiga mbishe za kitaa tu
abokorakamo kakuta maini haahhhahajah
angalia usifanye interview vibaya