Babuu Rogger
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 1,532
- 1,122
Povu!!!Hiyo nayo hata nyani anaandika kujitafutia kifuta machozi.. hata hauna bichwa wala miguuu.. haichekeshi wala haijaenda shule.. bure kabisa.. ndio watu wanakaaa kufikiria hayo.. sheria zikiwapita wanaishia kulialia eti wanaonewa..
Jiwe la Taifa !!!Magufuli ni nani wa Taifa?
Naona umepata tabu sana
Na utaendelea kupata tabu sana Lissu anarudi si kitambo utaama nchi na tena 1/8/2018 ya dada wa taifa inakaribia,nahisi utakupa kwa shock
Achana na huyo mama wa Lumumba.Kichwa kikubwa akili kwenye kisoda!Naona umepata tabu sana
Na utaendelea kupata tabu sana Lissu anarudi si kitambo utaama nchi na tena 1/8/2018 ya dada wa taifa inakaribia,nahisi utakupa kwa shock
Karume ni kama Zitto Kabwe na wengine...Self-worshiping self-important self-elevated self .... always thinking they need to 'correct' something or someone...I like Miss Karume, but self promotion is tacky.
Mimi hata sina tatizo na watu wakosoaji, in fact naona taifa letu tatizo lake si kwamba lina wakosoaji engi, tatizo lake halina wakosoaji wa kutosha.Karume ni kama Zitto Kabwe na wengine...Self-worshiping self-important self-elevated self .... always thinking they need to 'correct' something or someone...