Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,508
- 6,892
Hiyo nayo hata nyani anaandika kujitafutia kifuta machozi.. hata hauna bichwa wala miguuu.. haichekeshi wala haijaenda shule.. bure kabisa.. ndio watu wanakaaa kufikiria hayo.. sheria zikiwapita wanaishia kulialia eti wanaonewa..
Sijui macho yangu ndio hayaoni vizuri; mi nimeona mpinzani hapo ni mmoja tu yaani Tundu Lissu but wengine wote hao ni ccm; hilo la upinzani mkuu we umelitoa wapi!? Mange aligombea hadi ubunge Kinondoni through ccm, Mkwawa siwezi mzungumzia sana cause aliishi kipindi kabla na wakati wa ukoloni (labda kamauna maana ya yeye kuupinga ukoloni ni sawa na kuipinga ccm), huyo Fatma as nijuavyo nae ni ccm vile vile, halafu Nyerere ndio mwasisi wa ccm; sasa kuwepo mtu mmoja tu wa upinzani ndio ukasirike mkuu? Sio fair bwana.Du wakili na Rais wa TLS unaandika hili Afu wewe nawe unaanza kufikiria kiupinzani badala ya kutumia akili utashi na umri wako. Nipe sifa za hao Watu Afu then tuone UTAIFA .... mchango wa mkwawa na Nyerere vs kaka dada
Pumba tupu,yule mwanamke amekuzidi kila kitu,japo sura yako mbovu hatuijui ila uzuri humfikii hata toneHiyo nayo hata nyani anaandika kujitafutia kifuta machozi.. hata hauna bichwa wala miguuu.. haichekeshi wala haijaenda shule.. bure kabisa.. ndio watu wanakaaa kufikiria hayo.. sheria zikiwapita wanaishia kulialia eti wanaonewa..
unajigamba nyuma ya keyboard huna lolote. hakuna hata anaekujuaHiyo nayo hata nyani anaandika kujitafutia kifuta machozi.. hata hauna bichwa wala miguuu.. haichekeshi wala haijaenda shule.. bure kabisa.. ndio watu wanakaaa kufikiria hayo.. sheria zikiwapita wanaishia kulialia eti wanaonewa..
Hilo litakuw lishoga, beware na mijitu ya aina hiyoKuna Moja Huko Fb Liliniomba Liniunge Whatsapp Tuwe Tunachati Mamabo Ya Sirkali Nikalikatalia. Lilianza Kwa Kunisifia Kuwa Nachambua Mambo Ya Sirkali Vizuri.
Safi sana binamu wa TaifaWewe ni mjomba wa taifa
Hii sindano imakuingia kisawasawa.Hiyo nayo hata nyani anaandika kujitafutia kifuta machozi.. hata hauna bichwa wala miguuu.. haichekeshi wala haijaenda shule.. bure kabisa.. ndio watu wanakaaa kufikiria hayo.. sheria zikiwapita wanaishia kulialia eti wanaonewa..
Mdogo wangu kuna muda utani lazima uwepoDu wakili na Rais wa TLS unaandika hili Afu wewe nawe unaanza kufikiria kiupinzani badala ya kutumia akili utashi na umri wako. Nipe sifa za hao Watu Afu then tuone UTAIFA .... mchango wa mkwawa na Nyerere vs kaka dada
TrueHiyo nayo hata nyani anaandika kujitafutia kifuta machozi.. hata hauna bichwa wala miguuu.. haichekeshi wala haijaenda shule.. bure kabisa.. ndio watu wanakaaa kufikiria hayo.. sheria zikiwapita wanaishia kulialia eti wanaonewa..
Duh!Du wakili na Rais wa TLS unaandika hili Afu wewe nawe unaanza kufikiria kiupinzani badala ya kutumia akili utashi na umri wako. Nipe sifa za hao Watu Afu then tuone UTAIFA .... mchango wa mkwawa na Nyerere vs kaka dada
Mweeeee kwa hiyo account zote za watu naarufu zipo verified? Nenda tweeter kaanglie kule uje hap utuambieUmeongea point....tatizo la watanzania kuna wajinga wengi nchi hii, mtu anaandika upuuzi utashangaa watu wanashindwa hata kufikiri wanachekelea na kusupport ujinga huo. Binafsi nashangaa kipi katika alichoandika Fatma kimeenda shule. Yaani kwa kuwa mtu kasoma Uingereza basi aungwe mkono hata kama anaandika ujinga? Eti Mange na Lissu ni dada na kaka wa taifa?
MafiaShangazi wa Taifa gani Tanganyika Au Pemba?