Nimeipenda nyumba Salasala, bei yake 150 million. Nifanyeje niipate?

Jemima Mrembo

JF-Expert Member
Jul 19, 2021
2,791
8,006
Wananzengo wenzangu, sina hata 100, ila nimeipenda nyumba moja Salasala, je niombe dua gani niweze kuinunua?

Nimeikagua ina mita za mraba 1600, bei ni millions 150, Ina bwawa la kuogelea, pia ina bwawa la samaki na sehemu ya kuweka mabanda ya kuku.

Nikiipata aiseee
 
basi wewe ni kichaa, maana una tamaa ambayo haitokani na akili zako
 
Wananzengo wenzangu, sina hata 100, ila nimeipenda nyumba moja Salasala, je niombe dua gani niweze kuinunua?

Nimeikagua ina mita za mraba 1600, bei ni millions 150, Ina bwawa la kuogelea, pia ina bwawa la samaki na sehemu ya kuweka mabanda ya kuku.

Nikiipata aiseee
Ungeweka picha yake..! Unaweza pata akina Bill lugano humu akakununulia kesho..JF humu wote wana mikwanja hata wanao kaa kwa shemeji zao
 
Kijana una uhakika waeza ?! Et bwana mdogo sio tufike ndani uanze sema umegair? Unaitaka hip 120M?! Au nkupe mda ufikirie😅
1686674502556.jpg
 
Back
Top Bottom