Hawa wanafanya fujo tu! Hawajui kufanya ile mamboz wanafanya wakongo wenyewe; hawa wanajinyonganyonga tu lakini kibindankoi wenyewe na viunoz haipo kabisa.