Nimeipenda hii...Samahani ikikukwaza!!!

Nimeipenda hii...Samahani ikikukwaza!!!

hiyo safi sana nikama kwa mwenye akili timamu kula chakula kilichofunikwa na kutunzwa vizuri na kukiacha kile kilicho wazi na kutuliwa na manzii!!
 
mnachukulia tamaa za mwili tu,wivu na unyanyasaji... majoto bhana espcl dar. mnawaza uzinifu tuuuuuu..watu wako bize bana nani wa kumchunguza/ kumtamani dadako / mkeo....WACHA MARAMOJA!!
 
mimi siamini kama jibu lililotolewa ni great answer, kwani wada christian huwa wako uchi kama hiyo pipi aliyoitupa au aliyoivua?maana he never left a cloth on it, na kuchafuka kunaweza kuwa na tafrsiri gani? maybe u can help....
 
Back
Top Bottom