Nimeipenda harusi hii kwa kweli

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
image001.jpg


image002.jpg


image003.jpg
 
Kaka picha ya mjomba unaionesha bila rishaa yake? hahhaha ndo mazingira yetu hayo
 
Hivi bwana harusi hawezi kupata mfadhai ............................iiiiiiiiiiiiiiiiiiiko????

Hapo inabidi kuimba kwa kikwetu "Kadete, ka nhwani. Wakukaputa, kwize kumuone..." Hebu ELNINO saidia maana yake ni nini huo wimbo wa Ki-Marekani.
 
Hizi picha kujirudia hili jukwaa sasa imekuwa too much!!!!
 
Hao mboni wapo smart kihivyo??

Mimi niliipenda hii! Bi harusi ni huyo mrembo kushoto kwa mzee mwenyewe!!!

1.JPG
 
Huu upendeleo mbona bibi harusi kavaa kitenge ili hali bwana harusi kavaa suti huko kwenu Ray B kunahitaji seminar, alafu bwana harusi anenda kuchunga ngome au anaenda kwenye sherehe, kazi kweli kweli.
 
Kama nimeangalia vizuri naona Bwana harusi kavaa Raba.....
Dah nimeipenda sana hiyo.
Juu suti, Chini Raba, Mkononi fimbo..... Utaitaka.....! Ukileta mawenge mkong'oto fimbo zipo, ukichomoka tu tuna wewe, si tuna Raba? Ukitulia tunashereheka si tuna suti.
Patamu hapo, lazima ukae sawa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom