Nimeipata ile PhD asanteni

Hongera sana mkuu. Nilikuwa sikufahamu sababu sikuwahi kuona posts zako, kumbe wewe ni mmojawapo wa wakongwe hapa, nime-search posts zako za zamani zinaonekana kweli zimeandikwa na kichwa.

Kumbe JF ina watu wanoweza kutupa hamasa ya kufanya bidii zaidi, hasa kwa achievements zao kama hizi.

Hongera mwalimu, hongera doctor.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…