Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 119,069
- 221,754
Wote waliuawa ila mmoja amefufuka .Sa mbona hizo picha za Lisu na Bhuto hazifanani? Kila nikizifananisha naona hazifanani hata chembe
Wote waliuawa ila mmoja amefufuka .Sa mbona hizo picha za Lisu na Bhuto hazifanani? Kila nikizifananisha naona hazifanani hata chembe
wewe ni mjinga kuliko ujinga wenyewe, natamani ungekuwa katibu ningekupiga kerebu ya hatariUsifanishe ujinga wa lisu na mambo ya maana
Karma ipo kazini.Waliomfanyia Lissu unyama huu, watahukumiwa tuu kwa hukumu ya karma!.
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!.
Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!.
TL Get Well Soon!.
Paskali
Hivi hii nchi kuna mtu anayeruhusiwa kutoa au kujaribu kutoa ROHO ya mtu zaidi ya yule jamaa wa pale MAGOGONI??????.Ndio maana mkuu wenu akamtenda kwasababu nyie mnamshadadia huyu kizaidi.
Mama uwe na roho ya ubinadamu, mleta mada ameeleza kwa uchungu sana hoja yake, sikutegemea kama kuna mtu angekuja na hoja kama yako. Ukimfuatilia vizuri hajawa na hoja za kiitikadi, sijui hilo hujaliona? Wakati mwingine ukipita kimya kimya itapendeza zaidi.Ndio maana mkuu wenu akamtenda kwasababu nyie mnamshadadia huyu kizaidi.
Usifanishe ujinga wa lisu na mambo ya maana[/QUOTE
Hii LAANA isiishie tu kukutafuna wewe lakini pia Vizazi vyako vyote hadi cha tano vilaaniwe, viishi maisha ya kufukarika.
MWANA IZAYA MTOKA PABAYA kabisaaa.
We mwanamke kahaba akili umezihamishia wap?Ndio maana mkuu wenu akamtenda kwasababu nyie mnamshadadia huyu kizaidi.
Hii LAANA isiishie tu kukutafuna wewe lakini pia Vizazi vyako vyote hadi cha tano vilaaniwe, viishi maisha ya kufukarika.Usifanishe ujinga wa lisu na mambo ya maana
Akili yako ni ndogo sana mkuu!!! Nimejitahidi kujizuia nisiliandike hili nimeshindwa, samahani ndugu kwa kukueleza ukweli.Sa mbona hizo picha za Lisu na Bhuto hazifanani? Kila nikizifananisha naona hazifanani hata chembe
Karma ipo kazini.
Anayeua kwa upanga atauawa kwa upanga.
Halafu kuna mwanadamu mwenye mwili wa kufa, unakuta anaandika kitu ambacho si cha kibinaadamu kabisa.Hiyo picha ya TL imenipa huzuni kubwa sana Ni vile Sina cha kufanya
Kumbe wewe unaongea ushenzi huu? Nimeshakujua dawa yako inakujaUsifanishe ujinga wa lisu na mambo ya maana
Shetani wewe ulaaniwe maisha yako yote, na laana hiyo idumu kizazi hadi kizazi, watoto wako (kama unao) wawe wakimbizi. Laana hiyo ikuaibishe hapa hapa duniani na roho yako inayowawazia mabaya binadamu wenzako ikurudie wewe na kizazi chako.
Mmmmh!! Tangu lini random people wasio na haki kama wengine wakatamka laana kwa watu wengine!!Hii LAANA isiishie tu kukutafuna wewe lakini pia Vizazi vyako vyote hadi cha tano vilaaniwe, viishi maisha ya kufukarika.
MWANA IZAYA MTOKA PABAYA kabisaaa.
Muombe Mungu akupe maisha marefu.Ana mguu wa kike
Kwenye dashidashi hapo ni Kharumwa? Naam, Nyalubele pale kwenye daraja....Waweza pia kwenda Kafita, Kayenze (Msalabani), Bukwimba, Nyangh'olongo na pengine Nyamtukuza (kule kwenye Ukingo wa Ziwa Nyanza....kijijini kwetu na baadae mtihani wa kupata kumunio............... (makao makuu ya wilaya ya Nyanghwale zaidi ya miaka 29 iliyopita tukisimamiwa na Padri Alphonce Twimanye aliyekuwa parokia ya Nyalubele