Nimeinstal mara mbili window | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeinstal mara mbili window

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Wingu, Oct 12, 2012.

 1. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Wakuu nataka nifute moja ni baki na moja msaada wenu.Maana wakati wa kuwaka inanipa option nitumie ipi kitu ambacho sitaki.Ni window 7
   
 2. m

  multmandalin JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 8, 2012
  Messages: 1,951
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Format HD yote!
   
 3. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu kwa nini usinipe maujanja hapa hapa kupunguza gharama.
   
 4. leh

  leh JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  sijui umeinstall windows ipi kwenye partition ipi, so nitakupa jinsi ya kufanya ufiche OS moja. nenda command prompt (windows> type CMD) alafu uandike bcdedit /timeout 0 upige enter. kishney. kuna namna nyingi tofauti so ikiizingua hiyo sema nikuambie nyingine, nimekupa easiest
   
 5. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hiyo nitakayo ingia ndio itakayo potea au ipi.Naomba kujua.Manake iko moja nimefuta vitu manualy sasa hivi hata nikiselect ina kataa kufunguka kwa hiyo hi ndo nataka nifute.
   
 6. leh

  leh JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  utakayoingia ndo itabaki. yaani ambayo utakuwa unatumia ndo itabaki
   
 7. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Imegoma mkuu
   
 8. leh

  leh JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  nenda hivi
  my computer>properties>Advanced system settings>Advanced>Settings>Startup and Recovery

  hapo utaona system startup, utoe tick palipoandikwa *time to display list of operating systems*
   
 9. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ubarikiwe sana mkuu mambo yamekaa vizuri.
   
 10. m

  multmandalin JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 8, 2012
  Messages: 1,951
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mkuu umeuliza swali gumu mno kwenye ICT, utapata majibu mengi sana na yasisaidie, kwa swali lako mimi nimeshaelewa kiwango chako cha uelewa juu ya PC. nimekupa namba sio unipigie nipe yako nikupigie. Sikujuwi wewe lakini nimekukubali sana na ukinielewa utajuwa mengi sana.

  Je umefanikiwa kiasi gani mpaka sasa?
   
 11. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  leh Jamaa inaonekana amesolve shida yake kwa njia yako mkuu lakini mie sijaelewa vizuri saidia zaidi kwa maelezo!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. leh

  leh JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...