Nimeingia pori?

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Ngoja niwape sifa za girls kulingana na maumbile: waschana Wenye mwanya jamani watamu acha, halafu wapole, wenye matege nao watamu ila wana kaukorofi, wenye midomo mikubwa usiombe kuoa maana wanaongea kama wamemeza cd ya Tupac, wenye bichwa wakorofi sana wanapenda ligi ndani ya nyumba, wafupi wana upendo wa kweli, warefu wana maringo acha tu, wembamba waweza kumkunja upendavo mida ile ya...., wanene wana upendo na hasira vile vile,Ni mtazamo wangu tu au nimeingia chaka?
 
Mwenzetu umeoa (au umewapitia wangapi) hadi utuletee takwimu hizo?!!!!
 
Wakinadada ndani ya jf watakuchinja ndugu yangu ila hapo kwa wale wenye mdomo mkubwa nakubaliana na wewe,akiaanza kuchonga unatamani uzibe masikio
 
Sina hakika hebu kafanye utafiti tena ndo ulete hiyo mada yako make hapo naona kama unatudanganya mi huwa naona wanawake wote ni sawa huwa tunatofautiana tabia kutokana na malezi
 
This is too simple minded!

My friend, human beings are not classified/defined as simple as that!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom