Claret
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 758
- 989
Sasa kijana ametangaza kujiua halafu hatuambii yupo gorofa lipi tuje tuone na kuchukua video.
Anyway, familia nyingi zilivyoanza ndivyo zitakavyoishia. Matatizo ya wazazi huwagawanya mpaka watoto. Wazazi wengi wanadhani kumpeleka mtoto mdogo english medium na kumlipia ada basi amemaliza mwisho wake affection ya wazazi kwa watoto na kinyume chake inakufa. Nyumba inakuwa kama hostel na hili ndilo naliona hapa. Kijana kwa kuwa kaamua kujiua sijui tumsaidiaje.
Sent using Jamii Forums mobile app