talentboy
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 2,104
- 2,086
mkuu umeandika kama utani ila maneno yako ukiyatafakari yana maana kubwa sana kwa huyu ndugu yetu aliyedhamiria kujiua kwa sababu mlenda alizotueleza humu..Yaani unataka kujiua kisa huna mpenzi, kisa hupigiwi simu, kisa hujatakiwa happy new year! Hivi mkui unataka kuacha kuna vitu vitamu kama mananasi, kitimoto, wali maharage kisa hayo tu. Hauko serious.
Mkuu nakuambia hivi, ukifa hutaweza kufaidi kuangalia chura za dada zetu tunaopishana nao mabarabarani.
Ukifa hutoweza kusikiliza mziki mzuri.
Ukifa kwa kujiua utatukanwa sana mkuu, hadi maiti yako itakuwa inajificha uso kwa aibu na kujilaumu.
Hivi mkuu haujui ukifa funza wanakula kila nyama ya mwili? Unataka kujipeleka huko? Wacha kije kwa suprise wala si kukifuata kwa kiherehere.
pole,nimekuonea huruma ghafla ase..endelea kuwa jasiri sister!Mi mbona napitia worse zaidi ya yako still i dobt give up.
Mi mtoto wa kike simjui baba yangu tangu tumboni mpaka sasa na maumivu yake nadhani huyajui
Ungeweza kuhimili msongo wangu mpaka sasa?
My mon kafa nkiwa na miaka kumi bado kinda nkaachwa upweke dunia hii wewe unaweza himili maumivu yangu?
Niendeleë kukwambia mengine?
Bora ingekua kwa changamoto za maisha.. Unajiua kisa mapenzi?
Bastard
Sent using Jamii Forums mobile app
usikate tamaa na kujichukia kiasi icho hakuna jaribu baya km la ugonjwa wew ni mzima wa afya mshkuru mungu na jitaid sn kujipenda kwanza wew na kujikubali fanya san kazi pambana san ktk mafanikio wote hao watakuja tu. pole sana dogoAsanteni wadau japo ushauri wenu kidogo umenipa faraja I'm not going to do that.Japo naumia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia ni tam sana mkuu una haraka ya nn na kufa sote tutakua wakati ukifika??
Usitafte mapenzi acha mapenzi yakutafte ww kivipi bas ni kua who you are usifake kua ww kama ww, ishi maisha yako jipe amani ya moyo usikae peke yako dont you have friends??? Jitoe out huko badili mazingira uone uhai ulivyo mtam
Ukiona hupati unachotaka bas tambua si riziki yako Allah hajawah kumpa mja wake mtihani asokua na uwezo wa kuutatua ndani yake, wakat wako bado na Allah hajamalizana na ww,
Tambua pia kwenye maisha hatupat tunavyotaka bali tunavyostahili, nakushauri tu jipe break kwenye mapenzi mpaka pale utakapoona moyo wako umeridhia kurudi huko, yawezekana ww hujipi break baada ya kuachana na wapenzi wako maybe huchezi part yako kwenye mapenzi au kuna vitu unafanya hakuna ambae anafit humo jaribu kujichunguza hasa unakosea wapi
Ukiona mnaachana hivo elewa tu sio riziki ako ulopangiwa na Mungu, wa kwako aja kwa wakati ulopangiwa kwenye maisha n mwiko kukata tamaa.
Haya ndo madhara ya kudekeza matoto yanashindwa kuhandle situation ndogo kiasi hiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] dah! Jf bhanaAsanteni wadau japo ushauri wenu kidogo umenipa faraja I'm not going to do that.Japo naumia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Now you are talking. Endelea kupitia comments za uzi huu moja baada ya nyingine.Asanteni wadau japo ushauri wenu kidogo umenipa faraja I'm not going to do that.Japo naumia sana
Sent using Jamii Forums mobile app