LaplaceTransformation
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 776
- 679
Pacbig nakuhakikishia ukishapata hela hata mtu wangu Mzigua90 atapatikana tu!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ur not serius i thought tushaweka turubai sasa hvAsanteni wadau japo ushauri wenu kidogo umenipa faraja I'm not going to do that.Japo naumia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahUr not serius i thought tushaweka turubai sasa hv
FactPole mkuu.
Usikate tamaa, utapata tu umpendaye akupendaye.Ni swala la mda tuu, wewe bado mdogo.Jitahidi kuwa na marafiki na kukaa nao, usikae sana peke yako.
Pia tafuta ndugu mnayeelewana vizuri umwambie unavyojisikia kuhusu mahusiano/undugu wenu.
Usikate tamaa, 2019 italeta historia mpya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha dogo huyu naona anatabia za Marioo analilia kupendwa. Tafuta pesa aka mkwanja aka mpunga utapendwa mpaka na wanyama. Na tulio Yatima tusemeje sasa! Baba nakuja hukoò nipokeee aaah wapi. Don't give up a damn fight kijanaPumzika kwa amani bro.
See you again sir.
Watu ambao ni familia bora mna ma stress sana, endelea na mpango wako wa kujiua, kwani una faida gani ukifa, je kuna hasara yoyote unaleta duniani? Pole sanaShukrani za dhati zimwendee mwenyezi Mungu kwa kunisaidia kuingia mwaka mpya.
Kiukweli kwa sasa naishi kama nusu mfu.Mpaka sasa hivi ninavyoandika hapa sina uhakika kama nitaweza kuiona siku ya kesho.Naishi katika msongo mkubwa wa mawazo ambao sijawahi kuupata katika maisha yangu yote.Inaelekea wiki ya tatu sasa nafikiria kujiua.Of course I don't see if I am worthy in this world, to continue living is a great burden that I can't handle to carry.Commiting suicide will be a better option to run away from negative thought.
Tatizo kubwa ni kwamba I can't find love in this world.Most of the time I cry in my bedroom and ask God "was I created to be alone".At 23 sijawahi kuwa na mpenzi kati ya wanawake wooote wanaozurura mitaani.Kibaya zaidi women's who comes around to me I never love them and those whose I love they reject me.Hata nikijaribu kujifunza kuwapenda nisiowapenda bado siwezi kuwapenda.
Kinachoniuma zaidi hata familia yangu haijawahi kunionyesha upendo( at least my mom). Unakuwaje na baba ambaye anaweza akamaliza mwaka bila kukupigia simu mpaka umtafute wewe kila siku.Hivyohivyo kwa kaka,Dada, ndugu na jamaa wengine.Huwezi kupata hata SMS ya happy new year toka kwao.This is the great loniless that is about to kill me.Kuna kipindi naona hata Mungu kama ameniacha kwa kuruhusu kuwa mtu mwenye msongo wa mawazo na maumivu ya moyo kiasi hiki.No its better to die
My last word to you nikiwa juu kabisa ya ghorofa floor ya mwisho. Wazazi mliozaa watoto jitahidini kuwa karibu nao na kuwaonyesha mapenzi.Wanaweza wakakosa mapenzi toka kwa walimwengu lakini mapenzi yenu kwao yakawapa nguvu na tumaini.
God bless you all enjoy your life kwa haya maumivu nayo yapata its better if die today.Asante sana L,E,B and C niliwapenda sana tena kwa hisia Kali lakini rejection yenu kwangu illiniumiza basi tu na ilinipa inferiority complex mbaya sana but Mungu awabariki pia.I'm sorry my mom najua utaumia sana but sina jinsi acha nitafute pumziko la nafsi.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] anadeka Si mchezoHaya ndo madhara ya kudekeza matoto yanashindwa kuhandle situation ndogo kiasi hiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kije kwa surprise aaaah!Yaani unataka kujiua kisa huna mpenzi, kisa hupigiwi simu, kisa hujatakiwa happy new year! Hivi mkui unataka kuacha kuna vitu vitamu kama mananasi, kitimoto, wali maharage kisa hayo tu. Hauko serious.
Mkuu nakuambia hivi, ukifa hutaweza kufaidi kuangalia chura za dada zetu tunaopishana nao mabarabarani.
Ukifa hutoweza kusikiliza mziki mzuri.
Ukifa kwa kujiua utatukanwa sana mkuu, hadi maiti yako itakuwa inajificha uso kwa aibu na kujilaumu.
Hivi mkuu haujui ukifa funza wanakula kila nyama ya mwili? Unataka kujipeleka huko? Wacha kije kwa suprise wala si kukifuata kwa kiherehere.
Daah we jamaa usiwe na maamuzi ya haraka sana namna hiyo juu ya maisha yako. Nachokushauri acha kuwafikiria sana hao watu waliokutenga ishi maisha yako bila kujali chochote mtangulize mungu tu atakusaidia.Asanteni wadau japo ushauri wenu kidogo umenipa faraja I'm not going to do that.Japo naumia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu ulizotoa hazina mashiko hata kidogo, kwani ulishawahi kuwapigia wakaacha kupokea au unataka uwe unapigiwa wewe tu miaka yote?Shukrani za dhati zimwendee mwenyezi Mungu kwa kunisaidia kuingia mwaka mpya.