Dunia ni tam sana mkuu una haraka ya nn na kufa sote tutakua wakati ukifika??
Usitafte mapenzi acha mapenzi yakutafte ww kivipi bas ni kua who you are usifake kua ww kama ww, ishi maisha yako jipe amani ya moyo usikae peke yako dont you have friends??? Jitoe out huko badili mazingira uone uhai ulivyo mtam
Ukiona hupati unachotaka bas tambua si riziki yako Allah hajawah kumpa mja wake mtihani asokua na uwezo wa kuutatua ndani yake, wakat wako bado na Allah hajamalizana na ww,
Tambua pia kwenye maisha hatupat tunavyotaka bali tunavyostahili, nakushauri tu jipe break kwenye mapenzi mpaka pale utakapoona moyo wako umeridhia kurudi huko, yawezekana ww hujipi break baada ya kuachana na wapenzi wako maybe huchezi part yako kwenye mapenzi au kuna vitu unafanya hakuna ambae anafit humo jaribu kujichunguza hasa unakosea wapi
Ukiona mnaachana hivo elewa tu sio riziki ako ulopangiwa na Mungu, wa kwako aja kwa wakati ulopangiwa kwenye maisha n mwiko kukata tamaa.