Moorio
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 407
- 588
Wewe Hun hapo umewekwa mtu kati, ila mbona njia ya kutokea ipo!!! Usiishi kama huna wazazi, ukipambana nae huko ughaibuni atakuumiza huyo bwana, we rudi huku, kubali kuwa ulikosea kwa kutowasikiliza wakubwa zako, itisheni kikao cha familia zote mbili, basi useme matatizo yote na uamuzi wako. Swala likishakuwa wazi kila mtu akajua hata jeuri ya huyo bwana itakwisha!!!! Hapo anajifanya mpana kama meza za casino sababu huko nje mko peke yenu. Kuna mtuhivohivo ila kikako kilivokaa akaambiwa OLE WAKE MWENZIE APATE MATATIZO NDO ATAWAJUA HIYO FAMILIA NI KINA NANI!!!!!! Nyambaaaaaf kabisaaaa!
hapo sawa lara1 ni bora kuliweka hili swala wazi mbele ya wazazi na walezi wenu tena itisha kikao cha pande zote mbili, useme ukweli wote na kuomba msamaha kwao kwa kukiuka waliyokuambia, huyo mwanaume anajeuri ya kukutisha kwa kuna hakuna anayejua tatizo lenu na hiyo ndoa yenu kati yako wewe Hun na huyo man................so weka mambo hadharani kwa wazee watakupa ushauri mzuri sana na jinsi ya kukusaidia na vitisho vitaisha na jamaa ataachia ngazi mwenyewe..................mtoto akinyea kiganja hakikatwi bali kinasafishwa...so wazazi watakuelewa tu wa pande zote mbili na watawasaidia mana nyinyi ni watoto wao tu............:closed_2: