Labda uwe muwazi shida ni nini haswa?
nice story
Nilikuwa kwenye dimbwi la mapenzi na kijana mmoja,kwa kipindi hiko nilikuwa ninampenda mnoo,ikatokea ya kuwa tunataka kuoana lakini kwa kuwa tulitofautiana imani basi ndugu zake waliweka kizuizi wakitaka mimi ndo nibadilishe dini.
Sisi tulishaamua ya kuwa tutafunga ndoa ya bomani lakini hawakutaka hilo.
Siku zilienda na likatujia wazo ya kuwa tuondoke tukaishi nje ya nchi,tukafanya taratibu zote za safari na wakati tuko kwenye process hizo kuna rafiki ambaye alikuwa hiyo nchi tunayoenda alitushauri ya kuwa tufunge ndoa ya bomani halafu tukabadilishe cheti kiwe 'copy of an entry' yaani international marriage certificate ili visa ikiexpire mmoja wetu ataweza kuapply kama dependant. Kwa kweli tulifanya hivyo na kila visa ikiisha mimi ndo nilikuwa na apply kama dependant.
Sasa tatizo limekuja hivi, tangu tuanze mahusiano tuna miaka saba,tulivyofika huko kijana akapotezea maswala ya ndoa na mi nikakaa kimya sijamgusia,mwaka jana tukaamua kurudi nyumbani bado mwenzangu hagusii neno ila maswahiba ya hapa na pale ndo mengi. Ikafikia kipindi nikajianalyse na nini nataka maishani nikamwambia kila mtu ashike ustaarabu wake,haa!!mwenzangu hataki kuamini kuwa namuacha maana alikuwa anajua ninampenda kuliko kitu chochote na alikuwa akifanya maujinga yake anadiriki kusema kuwa siwezi kumwacha nikimwacha yeye sitopata mwanaume mzuri na mwenye maendeleo kama yeye. sasa hivi ananitishia kuwa hata nikiolewa nitapata shida maana bado ana cheti cha ndoa atanifanyia fujo nisiwe na amani. Mwe!!nimeingia choo cha kiume bila kujijua, na sijui natokaje.Huruma mie Hun jamani looh!
Labda uwe muwazi shida ni nini haswa?
so hakupendi tena? Umeongea nae kuhusu mapenzi au mpo kicheti zaidi?shida ni kwamba amekuwa ananiabuse physically and emotionally,nimevumilia ila nimefika mwisho.sasa nimeamua kila mtu aanze maisha upya,anasema nimempotezea muda hatakubali kuniacha kirahisi itanicost forever mana atatumia kile cheti
so hakupendi tena? Umeongea nae kuhusu mapenzi au mpo kicheti zaidi?
twende taratibu isiwe wewe ndo una makosa..mnaishije? mnalala wote? mnashirikiana kiuchumi? mna watoto? maana hapa unaongelea upande wa mabaya tuwakati wote akinipiga na kuniabuse emotionally nilikuwa namwambia kuhusu mapenzi na nini.kwanza hatujawahi kuongelea habari cha cheti mpaka yeye jana ndo kaniambia kuwa atanikomoa.sijui najinasuaje sasa nimeloba stepu uuwii
twende taratibu isiwe wewe ndo una makosa..mnaishije? mnalala wote? mnashirikiana kiuchumi? mna watoto? maana hapa unaongelea upande wa mabaya tu
bado bado sijakupata...so mlikuwa hamna feelings za kimapenzi sio? i mean ilikuwa ni ndoa ya makaratasi tu but no any other string attached ama?okaay,ni hivi.ile ndoa tulifunga kwasababu tu ya mambo ya visa na vitu kama hivyo tutakapofika huko nje,na ilibaki kuwa siri yangu na yake tu.hakuna mtu anayetuhusu anajua.
Kila mtu anaishi kivyake, na hatuna watoto.kila mtu ana kazi yake ila mambo ya maendeleo tunashirikiana.
bado bado sijakupata...so mlikuwa hamna feelings za kimapenzi sio? i mean ilikuwa ni ndoa ya makaratasi tu but no any other string attached ama?
Unataka umwache mmeo?? afu ukafunge ndoa na mme mwingine??
Maliage bana!
Dada yangu una umri wa miaka mingapi? Halafu elewa kukwaluzana kwenye doa kupo tu. Kinachoonekana hapa wewe unamajibu mabaya kwa jamaa yako. Ogea naye vizuri, vilevile hata wewe hutaki kujenga ndoa unataka muachane.tulikuwa ni wapenzi na tulikuwa na mipango ya kuoana,hiyo ya cheti ilikuja tu ili kurahisisha mambo ya visa na nini. ila baada ya kukaa muda mwenzangu akanibadilikia akawa kitu kidogo ananigombeza ananipiga na hata kuongea na wanawake zake mbele yangu.sasa nimevumilia nimechoka ndo nimemwacha lakini yeye ndo anataka kutumia cheti.
Smile hapa nimeeleweka mpendwa?
shida ni kwamba amekuwa ananiabuse physically and emotionally,nimevumilia ila nimefika mwisho.sasa nimeamua kila mtu aanze maisha upya,anasema nimempotezea muda hatakubali kuniacha kirahisi itanicost forever mana atatumia kile cheti