NIMEINGIA CHOO CHA KIKE. Msaada tafadhari.

NIMEINGIA CHOO CHA KIKE. Msaada tafadhari.

aisee dunia ina mambo!

wewe subira ajifungue kapime nae dna then timua na ww rudi mbinga faster, ushaharibu uko.
akapime nae DNA wakati hajamgonga?.

Yeye apige kimya tu wakati anamsoma huyo demu jinsi ya kumkimbia na kumwachia maumivu.
 
Habari wa jf.? Mimi ni mkazi wa mbinga /mkoani ruvuma kijiji cha kilimani, kwa sasa nipo mwanza kwa takribani mwaka mmoja sasa,najishughulisha na biashara ya mkaa. Kwa muda nilio kaa mwanza nilibahatika kupata mpenzi ambaye alikuwa askari ,maarufu kama WP,alikuwa akifanyia kazi mapokezi/masijara mkoani kwa rpc mkoa mwanza,kiukweli nilimpenda sana haswa ukizinga tia kila katikati ya mwezi alikuwa ananipa tz 50000/= hali ambayo ilifanya biashara yangu kukua kidogo, laki mapenzi yetu hayakudumu sana kwani takriba miezi mi nne tu ,uhusiano wetu ulivunjika baada ya mimi kukamatwa kwa kosa la kuji fanya mtumishi wa umma(nili bambikiwa tu). Wali dai najifanya askari police kwa kua natembea na askari wakike. Kiukweli mara kaza mali asili walikuja kutaka kuzuia mkaa wangu lakini nili waambia kuwa ni wa mwenzenu wakawa wana ishia hivyo mara nyingine waliambatana na askari police walini kamata nahati maye kuniweka lock up kwa kosa hilo,, lakini baadaye niliachiwa baada ya kuwaomba na kuwa ruhusu wazuie ule mkaa kwa upande wa mali asili.lakini kwa uapnde wa police yule dada alikuja kuni toa na kutaka mahusiano yetu yaishie hapo kwani ninge msababishia makubwa haliambayo ilinifanya ni ugue kichwa.sikua na jinsi ya kufanya na mtaji ulisha kata mkaa mali ya mali asili. Hivyo niliishi kwa wadeni wangu,baada ya muda nilianza kujishughulisha biashara ya dagaa kidogo ina lipa huko visiwani ,nilipata habari kuwa yule askari amehamishiwa ukerewe kikazi lakini sikua na muda naye tena. Mungu si athumani ,nilipata demu wa kikerewe tuka kubaliana kuoana, nika mwambia mungu akipenda imepita miezi miwili tu akaniam;bia nakuja huko mwanza mjini kwa ndugu zangu.nika mwambia nipo ukerewe ninge rudi siku ya pila ,kweli siku ya pila nika fanya hivyo nikiwa na furu wa kutosha kwaajili ya biashara, alinipigia cm kuwa yupo buzuruga nikamwone kwa mama yake mdogo ,makazi ya ngu yalikuwa nyakato sokoni,ni mwendo wa dk 9 tu nimetua kwao mwananchi bzrg,nilipofiaka tu kwao nilipokewa nakukaribishwa vzr,chakushanga za nilikuta watu takribani 8 ,baada ya salamu ,mpenzi wangu akanitambulisha kuwa huyu ndiye muhusika anaitwa flani, akanitaja flani wawani nduguzangu huyu mama yangu mkubwa/alimwonyesha mama mmoja mwemba aliyeonekana kama anataka kulia kutokana na macho yake kuonekana kama ya me jaa maji,nahyu ni mjomba yangu ,alimonyesha mzee wa makamo ambe muda wote nimeingia alikuwa kashikiria sime,kabla sija iongea chochote ,mjomba alidakia,"😱KIJANA TUMEKUITA HAPA TUKUKABIDHI MZIGO WAKO,BINTI YETU UMEMPA UJAUZITO UNATAKA NANI AKU LLELE".? Aliamuru nyanyukeni mwende . Nilipo taka kuonge nilizuiliwa zaidi waliniambia kama una kataa tuna kuitia moto/walizozana kisukuma tuliondoka; KIUKWELI JAMANI TOKA NIACHANE NAYULE MPENZI ASKARI SIJA WAHI FANYA TENDO LANDOA NA DEMU YEYOYE HIVYO MIMBA NIMESINGIZIWA ,HAKIKA NAAPA MBELE YA MUNGU MIMBA SIO YANGU ,SIJA WAHI KABISA KU SEX NAYE JAMANI,JE NIFANYEJE NA DEMU NDO YUPO GETO . ? NIME KWENDA USTAWI WAJAMII WAME NAMBIA MPAKA AJIFUNGUE NDO SURUHISHO LITAPATIKANA,? SINA JIPYA,HAPA NAWAZA NIRUDI KWETU MBINGA,MAANA HATA YULE MPENZI ASKARI ANANITISHIA KWA MADAI KUWA NIME MROGA KAHAMISHIWA UKEREWE HIVYO BUTIMBA INA NIITA, JE ,NIFANYEJE ,SOMETIMES ROHO YA KUJI NYONGA INA NIINGIA;RUVMA NILIAGA NAKWENDA KUTAFUTA MAISHA.
aisee,kati ya mabwege we ----- rafiki yangu,hata hao wakwe zako washakuona ----- kwani wewe ndio dawa ya shida na matatizo yao
 
akiwa na majibu ya vipimo vya dna,itakua rahisi kwake kuwaelezea wazazi wa huyo binti kua hahusiki na ujauzito huo..itatumika kama uthibitisho

Kuna baadhi ya vitu huhitaji kuthibitisha kwa nguvu kubwa sana. Acha mda uchukue mkondo wake maisha yataweka wazi pumba na mchele. Huyo dada hana adabu wala aibu hata chembe. Na huyo jamaa hana sababu ya kuiogopa familia yake. Uchawi hauna nguvu mbele ya Yesu. Yesu ndio kinga yake. Asonge mbele na maisha ajikabidhi maisha yake kwa Yesu yafichwe kabisa.

Collosians 3: 1 Since, then, you have been raised with Christ, set your hearts on things above, where Christ is, seated at the right hand of God. 2 Set your minds on things above, not on earthly things. 3For you died, and your life is now hidden with Christ in God. 4 When Christ, who is your[SUP]a[/SUP] life, appears, then you also will appear with him in glory.

Kama kiingereza kinasumbua fungua biblia yako ya kimakonde usome kwa lugha uliyozaliwa nayo
 
kamuangalie vizuri, pengine ndo yule askari wako! na kama huna kazi nyingine huko choo cha kike ondoka huko haraka, tatito wagoni ndo mlivyo bora utumwe pesa itafika salama kuliko mke. hayo ndo maisha uliyoaga unaenda kuyatafuta.
 
Back
Top Bottom