NIMEINGIA CHOO CHA KIKE. Msaada tafadhari.

Junior Lecturer

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
913
Reaction score
584
Habari wa jf.?

Mimi ni mkazi wa mbinga /mkoani ruvuma kijiji cha kilimani, kwa sasa nipo mwanza kwa takribani mwaka mmoja sasa,najishughulisha na biashara ya mkaa.
Kwa muda nilio kaa mwanza nilibahatika kupata mpenzi ambaye alikuwa askari ,maarufu kama WP,alikuwa akifanyia kazi mapokezi/masijara mkoani kwa rpc mkoa mwanza,kiukweli nilimpenda sana haswa ukizinga tia kila katikati ya mwezi alikuwa ananipa tz 50000/=
hali ambayo ilifanya biashara yangu kukua kidogo,
laki mapenzi yetu hayakudumu sana kwani takriba miezi mi nne tu ,uhusiano wetu ulivunjika baada ya mimi kukamatwa kwa kosa la kuji fanya mtumishi wa umma(nili bambikiwa tu).
Wali dai najifanya askari police kwa kua natembea na askari wakike.
Kiukweli mara kaza mali asili walikuja kutaka kuzuia mkaa wangu lakini nili waambia kuwa ni wa mwenzenu wakawa wana ishia hivyo mara nyingine waliambatana na askari police walini kamata nahati maye kuniweka lock up kwa kosa hilo,,
lakini baadaye niliachiwa baada ya kuwaomba na kuwa ruhusu wazuie ule mkaa kwa upande wa mali asili.lakini kwa uapnde wa police yule dada alikuja kuni toa na kutaka mahusiano yetu yaishie hapo kwani ninge msababishia makubwa haliambayo ilinifanya ni ugue kichwa.sikua na jinsi ya kufanya na mtaji ulisha kata mkaa mali ya mali asili.
Hivyo niliishi kwa wadeni wangu,baada ya muda nilianza kujishughulisha biashara ya dagaa kidogo ina lipa huko visiwani ,nilipata habari kuwa yule askari amehamishiwa ukerewe kikazi lakini sikua na muda naye tena.
Mungu si athumani ,nilipata demu wa kikerewe tuka kubaliana kuoana, nika mwambia mungu akipenda imepita miezi miwili tu akaniam;bia nakuja huko mwanza mjini kwa ndugu zangu.nika mwambia nipo ukerewe ninge rudi siku ya pila ,kweli siku ya pila nika fanya hivyo nikiwa na furu wa kutosha kwaajili ya biashara,
alinipigia cm kuwa yupo buzuruga nikamwone kwa mama yake mdogo ,makazi ya ngu yalikuwa nyakato sokoni,ni mwendo wa dk 9 tu nimetua kwao mwananchi bzrg,nilipofiaka tu kwao nilipokewa nakukaribishwa vzr,chakushanga za nilikuta watu takribani 8 ,baada ya salamu ,mpenzi wangu akanitambulisha kuwa huyu ndiye muhusika anaitwa flani, akanitaja flani wawani nduguzangu huyu mama yangu mkubwa/alimwonyesha mama mmoja mwemba aliyeonekana kama anataka kulia kutokana na macho yake kuonekana kama ya me jaa maji,nahyu ni mjomba yangu ,alimonyesha mzee wa makamo ambe muda wote nimeingia alikuwa kashikiria sime,kabla sija iongea chochote ,mjomba alidakia,"😱KIJANA TUMEKUITA HAPA TUKUKABIDHI MZIGO WAKO,BINTI YETU UMEMPA UJAUZITO UNATAKA NANI AKU LLELE".?
Aliamuru nyanyukeni mwende .
Nilipo taka kuonge nilizuiliwa zaidi waliniambia kama una kataa tuna kuitia moto/walizozana kisukuma
tuliondoka;
KIUKWELI JAMANI TOKA NIACHANE NAYULE MPENZI ASKARI SIJA WAHI FANYA TENDO LANDOA NA DEMU YEYOYE HIVYO MIMBA NIMESINGIZIWA ,HAKIKA NAAPA MBELE YA MUNGU MIMBA SIO YANGU ,SIJA WAHI KABISA KU SEX NAYE JAMANI,JE NIFANYEJE NA DEMU NDO YUPO GETO .
?
NIME KWENDA USTAWI WAJAMII WAME NAMBIA MPAKA AJIFUNGUE NDO SURUHISHO LITAPATIKANA,?
SINA JIPYA,HAPA NAWAZA NIRUDI KWETU MBINGA,MAANA HATA YULE MPENZI ASKARI ANANITISHIA KWA MADAI KUWA NIME MROGA KAHAMISHIWA UKEREWE HIVYO BUTIMBA INA NIITA,
JE ,NIFANYEJE ,SOMETIMES ROHO YA KUJI NYONGA INA NIINGIA;RUVMA NILIAGA NAKWENDA KUTAFUTA MAISHA.
 
Sema ukweli tu kuwa una jinsia mbili. Mtu kama wewe hauhitaji boy friend wala girl friend unajisevia tu kama vile hauna akili, na wala karaha za magonjwa ya maambukizi hauna....yani ni mwendo mdundo tu:A S tongue:
 
Duh poleh sana,mtoto akizaliwa pima dna,as long as una uhakika sio wako ,basi utakuwa na haki zote za kusepa kuendelea na life yako,na wkt huo mchimbe biti mama kijacho ili arudi kwa aliempa hyo mimba,usikubali kuliwa hivihiv
 
Ah hivi umesema hujawah lala nae?mtimue hapo kwako, hamia mtaa mwingine,km vp mkatie rb polisi kabisa
 
aisee dunia ina mambo!

wewe subira ajifungue kapime nae dna then timua na ww rudi mbinga faster, ushaharibu uko.
 
Sema ukweli tu kuwa una jinsia mbili. Mtu kama wewe hauhitaji boy friend wala girl friend unajisevia tu kama vile hauna akili, na wala karaha za magonjwa ya maambukizi hauna....yani ni mwendo mdundo tu:A S tongue:

nadhani una matatizo kumkichwa?
 
aisee dunia ina mambo!

wewe subira ajifungue kapime nae dna then timua na ww rudi mbinga faster, ushaharibu uko.

lakini kaka DNA ,haina shida maana hata k*m* yake sii jui.
Kinacho nitisha ni sifa za kishirikina za hao wa kerewe.
 
sasa ndugu inakuwa je kuhusu huyn mke wako mbona sijawaelewa?huyo mke anasemaje kuhusu hilo tatizo?
 
anza kufuata taratibu za kisheria kama una uhakika
 
Habari wa jf.?

Mimi ni mkazi wa mbinga /mkoani ruvuma kijiji cha kilimani, kwa sasa nipo mwanza kwa takribani mwaka mmoja sasa,najishughulisha na biashara ya mkaa.
Kwa muda nilio kaa mwanza nilibahatika kupata mpenzi ambaye alikuwa askari ,maarufu kama WP,alikuwa akifanyia kazi mapokezi/masijara mkoani kwa rpc mkoa mwanza,kiukweli nilimpenda sana haswa ukizinga tia kila katikati ya mwezi alikuwa ananipa tz 50000/=
hali ambayo ilifanya biashara yangu kukua kidogo,
laki mapenzi yetu hayakudumu sana kwani takriba miezi mi nne tu ,uhusiano wetu ulivunjika baada ya mimi kukamatwa kwa kosa la kuji fanya mtumishi wa umma(nili bambikiwa tu).
Wali dai najifanya askari police kwa kua natembea na askari wakike.
Kiukweli mara kaza mali asili walikuja kutaka kuzuia mkaa wangu lakini nili waambia kuwa ni wa mwenzenu wakawa wana ishia hivyo mara nyingine waliambatana na askari police walini kamata nahati maye kuniweka lock up kwa kosa hilo,,
lakini baadaye niliachiwa baada ya kuwaomba na kuwa ruhusu wazuie ule mkaa kwa upande wa mali asili.lakini kwa uapnde wa police yule dada alikuja kuni toa na kutaka mahusiano yetu yaishie hapo kwani ninge msababishia makubwa haliambayo ilinifanya ni ugue kichwa.sikua na jinsi ya kufanya na mtaji ulisha kata mkaa mali ya mali asili.
Hivyo niliishi kwa wadeni wangu,baada ya muda nilianza kujishughulisha biashara ya dagaa kidogo ina lipa huko visiwani ,nilipata habari kuwa yule askari amehamishiwa ukerewe kikazi lakini sikua na muda naye tena.
Mungu si athumani ,nilipata demu wa kikerewe tuka kubaliana kuoana, nika mwambia mungu akipenda imepita miezi miwili tu akaniam;bia nakuja huko mwanza mjini kwa ndugu zangu.nika mwambia nipo ukerewe ninge rudi siku ya pila ,kweli siku ya pila nika fanya hivyo nikiwa na furu wa kutosha kwaajili ya biashara,
alinipigia cm kuwa yupo buzuruga nikamwone kwa mama yake mdogo ,makazi ya ngu yalikuwa nyakato sokoni,ni mwendo wa dk 9 tu nimetua kwao mwananchi bzrg,nilipofiaka tu kwao nilipokewa nakukaribishwa vzr,chakushanga za nilikuta watu takribani 8 ,baada ya salamu ,mpenzi wangu akanitambulisha kuwa huyu ndiye muhusika anaitwa flani, akanitaja flani wawani nduguzangu huyu mama yangu mkubwa/alimwonyesha mama mmoja mwemba aliyeonekana kama anataka kulia kutokana na macho yake kuonekana kama ya me jaa maji,nahyu ni mjomba yangu ,alimonyesha mzee wa makamo ambe muda wote nimeingia alikuwa kashikiria sime,kabla sija iongea chochote ,mjomba alidakia,"😱KIJANA TUMEKUITA HAPA TUKUKABIDHI MZIGO WAKO,BINTI YETU UMEMPA UJAUZITO UNATAKA NANI AKU LLELE".?
Aliamuru nyanyukeni mwende .
Nilipo taka kuonge nilizuiliwa zaidi waliniambia kama una kataa tuna kuitia moto/walizozana kisukuma
tuliondoka;
KIUKWELI JAMANI TOKA NIACHANE NAYULE MPENZI ASKARI SIJA WAHI FANYA TENDO LANDOA NA DEMU YEYOYE HIVYO MIMBA NIMESINGIZIWA ,HAKIKA NAAPA MBELE YA MUNGU MIMBA SIO YANGU ,SIJA WAHI KABISA KU SEX NAYE JAMANI,JE NIFANYEJE NA DEMU NDO YUPO GETO .
?
NIME KWENDA USTAWI WAJAMII WAME NAMBIA MPAKA AJIFUNGUE NDO SURUHISHO LITAPATIKANA,?
SINA JIPYA,HAPA NAWAZA NIRUDI KWETU MBINGA,MAANA HATA YULE MPENZI ASKARI ANANITISHIA KWA MADAI KUWA NIME MROGA KAHAMISHIWA UKEREWE HIVYO BUTIMBA INA NIITA,
JE ,NIFANYEJE ,SOMETIMES ROHO YA KUJI NYONGA INA NIINGIA;RUVMA NILIAGA NAKWENDA KUTAFUTA MAISHA.
wewe mlee tu akija kuwamshuawatakutamani tu.
 
aisee dunia ina mambo!
wewe subira ajifungue kapime nae dna then timua na ww rudi mbinga faster, ushaharibu uko.

Duh poleh sana,mtoto akizaliwa pima dna,as long as una uhakika sio wako ,basi utakuwa na haki zote za kusepa kuendelea na life yako,na wkt huo mchimbe biti mama kijacho ili arudi kwa aliempa hyo mimba,usikubali kuliwa hivihiv

Hivi nyie mnaosema asubiri mtoto azaliwe ndo akapime DNA. Akili zenu ziko sawa sawa kweli?
Hivi Kama hujala chakula kwa siku mbili au tatu mfululizo chooni unaenda kufata nini?
Embu tumieni akili Kidogo.
 
Ivi mtu umekabidhiwa mtoto wa watu, ww umfukeze yakimkuta ya kumkuta uko si utatafutwa ww kwa ishu ambayo unajua ukifuata procedure utashinda kwann uwende kurisk mambo!! sijaona haja ya kufanya shortcut.
 
.....timka mwachie kila kitu......na wewe fara kweli mzigo hujala unakubali kuishi nao + mimba ya mlume mwenzio....pole mangi....
 
akijifungua mkapime dna

kwanza huna haja

hama hapo kimya kimya rudi kwenu
 
kwa hiyo miezi 9 unagharamia kitu ambacho unauhakika sio chako...hakuna kusubiri,ishia fasta...
 
Back
Top Bottom