Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
- Thread starter
-
- #21
Hapana,maana kilichonileta kwake ni uboo simu ya nini? Akiificha ile msosi akwende tu
Siyo kukagua,Akague tu, likimkuta jambo atapambana nalo.
Kwahiyo ni sawa kuwa na access?Waliooana wamekuwa mwili mmoja labda ambao wanahusiana bila ndoa
Wew tnHapana,maana kilichonileta kwake ni uboo simu ya nini? Akiificha ile msosi akwende tu
Ni mambo gani yapo kwenye simu ambayo mwanamke/mwanaume wake hayajui?Kitaalam sio sahihi!! Privacy is very important
haya bana😂Ndiyo
Kuna kucheza game
Kupiga picha kali,labda mmoja wenu ana simu ina camera nzuri
Kuna kuitumia kupiga simu kwa watu wa muhimu mfano wazazi
Wengine kuunga bando la dakika ni kipengele
Kuna kuitumia kuperuzi mtandaoni..maybe mmoja bando lomekata
Hivyo anaaccess simu ya mwenzie nakujihotspot ama kuitumia direct.
Lakini,kagua at your own risk
siwezi shika simu ya mtu mzima mwenye meno 32 nikakagua na hata akiniachia bahati mbaya ikiwa haiko locked ntamsaidia kuilock unless niwe na nnalolitafuta na wanasega
mwana kulifind mwanakuliget
Ina maana kwenye simu Kuna mambo machafu ambayo mwenzio anaweza kuwa hayajui?haya bana
wahenga walisema 'ukikata kitunguu, uwe tayari kulia'
YatajeSiyo kukagua,
Mbali na kukagua,bado kuna mambo mengi ya kufanya kwenye simu
Ndoa zinakufa kwa kukosa uaminifu cku izi mitongozo mingi,Kwahiyo ni sawa kuwa na access?
Sasa sababu ya kuwa wapenz tena in a love relationship ni ipi km simu zenu hamruhusiani ht kuchungulia kwa uhuru,Je wapenzi wanapaswa kuwa na uhuru, kila Moja na simu ya mwenzake?
Jibu "Ndiyo " au "Hapana"
Kwanini?
Faida zake ni zipi?
Hasara zake ni zipi? View attachment 2784316
sio lazima, ila kuna kale ka spirit ka kiherehere hakawezi kukuacha salama utajikuta tu ushakaguaLakini,
Hivi ukiwa na access na simu ya mtu,ni lazima uikague?
umesound like ex wanguWatu wengi wana hofu,simu zao zikiwa accessed,kwani hudhani mambo yao mabaya yatajulikana,wakati mwingine anataka um-hotspot tu.
Mi kukaguana ndio siwezi kuepusha mabalaaMtaachana afu utashangaa alikuwa mtamu kweli kwa bed,daah....ndo ushapoteza
Hamna ndo maana hamna haja ya kukaguanaNi mambo gani yapo kwenye simu ambayo mwanamke/mwanaume wake hayajui?