nimeikuta sehemu jamani msinihukumu.

kunguni wa ulaya

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
4,131
6,111
HIVI SEFUE BADO HAJATAFUTIWA HIYO KAZI NYINGINE!!?

Hapo ndiyo ujue kupata kazi Tanzania ni ngumu.... Kama Rais anamtafutia kazi Sefue hadi leo hajapata halafu wewe na mimi mtoto wa mkulima/ katibu tarafa unajipa moyo utaajiriwa kirahisi?
Utasubiri sana!
 
Back
Top Bottom