Usitudanganye we
appoh Posta ya wapi, Dar? Hapa ni Rulenge kule Ngara- Kagera na hizo ni nyumba za Mission na kwenye background ni ukumbi wa Mwoleka. Chezea photography interpretation wewe. Kwa taarifa yako mbele ya hayo majengo kuna Semi- trailer nyekundu.
Well, back to the point, kazi ta mchina hiyo. Hayo majina yanachongwa hapa hapa mjini tu. Ujana bwana!!!!!