hii picha ndio nimeikuta posta kakaUsitudanganye we appoh Posta ya wapi, Dar? Hapa ni Rulenge kule Ngara- Kagera na hizo ni nyumba za Mission na kwenye background ni ukumbi wa Mwoleka. Chezea photography interpretation wewe. Kwa taarifa yako mbele ya hayo majengo kuna Semi- trailer nyekundu.
Well, back to the point, kazi ta mchina hiyo. Hayo majina yanachongwa hapa hapa mjini tu. Ujana bwana!!!!!
genekai bora we umesema manake picha tu ukiiangalia kwa makini unaona kuwa hapo sio PostaUsitudanganye we appoh Posta ya wapi, Dar? Hapa ni Rulenge kule Ngara- Kagera na hizo ni nyumba za Mission na kwenye background ni ukumbi wa Mwoleka. Chezea photography interpretation wewe. Kwa taarifa yako mbele ya hayo majengo kuna Semi- trailer nyekundu.
Well, back to the point, kazi ta mchina hiyo. Hayo majina yanachongwa hapa hapa mjini tu. Ujana bwana!!!!!
Usitudanganye we appoh Posta ya wapi, Dar? Hapa ni Rulenge kule Ngara- Kagera na hizo ni nyumba za Mission na kwenye background ni ukumbi wa Mwoleka. Chezea photography interpretation wewe. Kwa taarifa yako mbele ya hayo majengo kuna Semi- trailer nyekundu.

Ok, umesomeka!!!hii picha ndio nimeikuta posta kaka