Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,057
- 1,573
Pata Tiba njoo utupe ushuhuda....😀😀
tatizo la ajira ni bomu lililolipuka rasmi tanzania.
Akishindwa hapo, anafungua Kanisa...
Vikanisa michepuko na Waganga wa kienyeji ni laana kwa Taifa..
Duh akili za darasani! hawa jamaa ni hatari sana....natumai watoto wao watakuwa magenious
Ni kweli ndugu, iache NECTA iitwe NECTA. Wale jamaa hawazoeleki. Kila siku wanakuja kivingine.NECTA hawana Masikhara ndugu... Vitoto vyao ni Ovyo sana Darasani.
hivi kwanini serikali haipigi marufuku huu utapeli.??
Akishindwa hapo, anafungua Kanisa...
Vikanisa michepuko na Waganga wa kienyeji ni laana kwa Taifa..
Huyo dr nimempigia kasema anapatikana kilimanjaro hotel ghorofa ya 13! Balaa