Technologiest
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 3,712
- 4,026
@cute b weeehHebu acheni kuchukua namba mnatutia hasara.
Mimi hapa simu yangu nzima kabisa , ghafla inakufa, kodi nimelipa ya mwaka ghafla inaisha, wazazi wanaugua ghafla.
Acheni kututia mikosi
cha msingi tukutane lodge nimpatie hizo pesa."*Kitendo cha kuchukua tu namba ya simu ya demu wa Dar, tayari nywele zake zinafumuka muda huo huo, njaa inamuuma dakika hiyo hiyo, simu yake inaharibika siku hiyo hiyo, siku yake ya kuzaliwa inafika saa hiyo hiyo, mama yake anaumwa ghafla hapo hapo, na kodi yao ya nyumba inaisha dakika hiyo hiyo*. 🤣😆😜
Ni mikosi eti. Hebu fikiria tuu mtu kuja tuu vitu vyako vinaanza kuharibika na wazazi wanaumwa.@cute b weeeh
Kumbe? Basi kuna mtu huwa simwombi hela ameshaanza kunidharau. Itabidi nianze.Nilipitia relations za kuchunwa hadi nikazoea, badae nikampata ambae haombi hela eti anajidai kunipenda nikamwambia peleka huko ufilipino.
Ukweli wanaume tumezoea kupigwa mizinga hadi inafika muda nisipoombwa hela nakuwa sijiskii yaani hata sivimbi.
Wakwako anaingizwa kichwa uvungunipole yetu tena? Si unajua mahawala hawa achani!! Muda wowote ukitaka kupasha kiporo mwapashana tu. Pole zaidi ni kwa husband materials wana kazi ya ziada ya kufanya.
Sijui na Mimi wangu wanamtafuna uko wadau.
Ume acknowledge kwa Maulidi Kitenge hii thread maana ume i copy kule TWITTER. Ni idea ya Kitenge
avoidi Plagiarism
nina hakika mkuu wanguUna uhakika Kitenge ndiye mtunzi wa hayo maneno au kwa kuwa wewe umeanza kuona kwake?
Usinitishe usinitishe usinitishe usinitisheWakwako anaingizwa kichwa uvunguni. Malipo ni hapa hapa.
HayaUsinitishe usinitishe usinitishe usinitishe
(In maalim seifu voice)
hahaha mi nafurahiaga sana hii scenerio ya kuwindana: kila mmoja ana mvizia mwenzakeKwahiyo mnatakaje eti
Hahaha nimeuliza tu mm ili tuwaambie wanawake wa dar tulichojadili kwenye kikao chetuhahaha mi nafurahiaga sana hii scenerio ya kuwindana: kila mmoja ana mvizia mwenzake
Hivi ukishakula kwa jirani, unatakiwa kukaa kwa muda gani kabla ya kuaga ?Haaahaaaa na nyie mkipewa namba muda huo huo unaleta Uzi jf, muda huo huo unawaza ukamgegede, muda huo huo unahofia kupigwa mizinga, muda huo huo..... .........
haha sijui kilikuwa na ajenda gani hivi na wigi zinaanza Ku tozwa kodi.Hahaha nimeuliza tu mm ili tuwaambie wanawake wa dar tulichojadili kwenye kikao chetu
Inamaana kati ya comment s zote hii ndiyo umeiona?
Hahaha ajenda yetu ni kwamba hatutaki kuwa na wanaume wanaolialia kwa vitu vidogohaha sijui kilikuwa na ajenda gani hivi na wigi zinaanza Ku tozwa kodi.