Huyo hapo.unafikiri ni kama makamanda wako,wanaovunjwa matofali ya biskuti,na mbao za miche ya sabuni.KAMANDA NI YUPI HAPO? MBONA GOIGOI
Nywere???? Hii ndo aina gani ya kinywajiNaona nywere tu...
Ila ni geneus, waliokuwa wanamuita fisadi papa kawafunga midogo, leo hata alistaafu ana uhakika wa kutozomeewa, kule kuchoka kote kipindi kile ni uzito wa mzigo aliobebeshwa na chadema, wamemsafisha wenyewe na dodoki.Huyo Mzee wa kulia aliporomeshewa matusi na CDM kwa miaka kama nane hivi na sasa hivi anaporomoshewa matusi na CCM.
Siasa sijui ni nini?
aiseeBinti wa Kizaramo Bi Sikuzani aliolewa na na
Chacha, Mkuria safi wakawa wanaishi Musoma
kwa mapenzi ya hali ya juu. Siku moja
wakaamua kuja Kisarawe kuwasalimu wazazi
wa Sikuzani. Bahati mbaya Chacha akaugua
malaria kali sana na kwa siku mbili hakuweza
kula. Hatimae siku ya tatu mama mkwe aliingia
kwenye chumba cha mkwewe kumjulia hali
akamkuta kidogo ana nafuu; MAMA MKWE : Vipi
baba unadhani tukuletee nini? CHACHA:
Mukiniretea uchi wa moto nitacharibu kidogo
MAMA MKWE : (Aliondoka kwa aibu) We
Sikuzani, mumeo naona amepona anakuhitaji
upesi
mbona "nywere" hahahahahahhahha, JF raha sanaNaona nywere tu...
hahaahahahaaha
Mpelekee mama yako uoneKAMANDA NI YUPI HAPO? MBONA GOIGOI