Dotto C. Rangimoto
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,985
- 1,286
View attachment 146559
Fikiri upime sana, sinilaumu bilashi,
Fikiri pasi sonona, uwe bora mtumishi,
Fikiri na tulizana, katu usiende joshi,
Fikiri hafidhina, njia zako hazitoshi.
Fikiri upate jua, sikia we kuku maji,
Fikiri waja gundua, dunia yote si maji,
Fikiri waja tambua, taifa lakuhitaji,
Fikiri waja ng'amua, barafu pia ni maji.
Rauka raia mwema, uvivu si jambo jema,
Rauka hima hima, chombo chaenda mrama,
Rauka ewe mjima, konde limejaa kima,
Rauka acha koroma, kujenga nchi lazima.
Rauka jionee, nchi ilivyozizima,
Rauka utembee, uone tulipo kwama,
Rauka jijengee, ule mji wa waroma.
Rauka ujiombee, kwa mola wetu Karima.
Tazama kule angani, nambie waona nini?
Tazama tena angani, pana nyota si utani,
Tazama ACT angani, nyota ya matumaini,
Tazama nyota angani, pigo la nyoka nchini.
Tazama upate jua, CCM ni shetani,
Tazama utagundua, pepo hatoi shetani,
Tazama waja ng'amua, mapepo yapo kazini,
Tazama waja tambua, ACT ni tumaini.
Wino wa zafarani,Umeisha si utani,
Ya manjano zafarani, hamna tone chupani,
Kuandika natamani, wino sinao jamani,
Loo!!! niko tamatini,wana jamvi kwahereni
Njano5.
0784845394.
kwa hiyo mwenyekiti lucas, katibu samson, misingi usawa uwazi, uwajibikaji na demokrasia ya kweli, halafu conclusion ni chama cha kiislam? Halafu wewe unajinasibisha na chama fulani ukiambiwa wewe na chama chako mnabagua na mna chuki na dini fulani utalalamika?utajitahidi sana kukipigia debe chama chama chenu cha kiislam lakini hakita kuja kuwa na mvuto kamwe!! Tangia lini msaliti akawa na mvuto kwa jamii??then waambie wenzio wangeweka na mwezi kabisa hapo kwenye bendera ,nyota peke yake haitoshi.big no!! To islamic part 'act'
mkuu usikubali kuingia kwenye mtego wa matusi.hata ukitukanwa; wewe jitahidi kujikita kwenye mambo unayodhani ni ya msingi.na wewe ukianza matusi, itakuwa inaturudisha kule kule.jiepushe sana kuingia kwenye mtego huo.kama lema na dr.slaaa???
utajitahidi sana kukipigia debe chama CHAMA CHENU CHA KIISLAM lakini hakita kuja kuwa na mvuto kamwe!! Tangia lini msaliti akawa na mvuto kwa jamii??then waambie wenzio wangeweka na mwezi kabisa hapo kwenye bendera ,nyota peke yake haitoshi.BIG NO!! TO ISLAMIC PART 'ACT'
kama lema na dr.slaaa???
utajitahidi sana kukipigia debe chama CHAMA CHENU CHA KIISLAM lakini hakita kuja kuwa na mvuto kamwe!! Tangia lini msaliti akawa na mvuto kwa jamii??then waambie wenzio wangeweka na mwezi kabisa hapo kwenye bendera ,nyota peke yake haitoshi.BIG NO!! TO ISLAMIC PART 'ACT'
mkuu usikubali kuingia kwenye mtego wa matusi.hata ukitukanwa; wewe jitahidi kujikita kwenye mambo unayodhani ni ya msingi.na wewe ukianza matusi, itakuwa inaturudisha kule kule.jiepushe sana kuingia kwenye mtego huo.
mkuu usikubali kuingia kwenye mtego wa matusi.hata ukitukanwa; wewe jitahidi kujikita kwenye mambo unayodhani ni ya msingi.na wewe ukianza matusi, itakuwa inaturudisha kule kule.jiepushe sana kuingia kwenye mtego huo.
kama lema na dr.slaaa???
kama lema na dr.slaaa???
nilikuwa nakuheshimu sana na kukuona mtu anayejitambua kumbe na wewe ni ovyo kama mavi ya kitimoto
Tutolee uchafu wako hapa,watu tunaumiza kichwa baada ya matumaini yetu ya tanzania tuitakayo kupitia katiba kufifia wewe unakuja na upuuzi wako?kama ni mavyama tz yapo zaidi ya 20 hivyo usitujazie topics kwa kutuletea mavyama uchwara ambayo hata hivyo bado yameandikwa kwa wino wa penseli kwa msajiri wa vyama vya siasa.
Ndugu sasa dharau za nini hapa??? ina maana kuanzisha chama mwiko?? mbona watz tuna ---- za ajabu???