Muda si mrefu itv wametoka kurusha habari inayohusu madawa ya kulevya,mhusika ni someone skuba,huyu mtu hata picha hawajaonesha zaidi ya majengo ya mahakama ya kisutu,hivi ni nini huyu mtu ni nani? Amewapa nn waandishi?

Asubuhi picha zao zilikimbizwa fasta. Huyo sijui Shikubha, ckuba, Shikuba and so forth! Maana ana majina mengi kwa jina moja. Watu wanashindwa ku- pronounce jina lenye alphabet 7 ama 6 kweli! Kwanza upotoshaji huanzia na vitu vidogovidogo kama hivi, halafu baadaye utasikia walioandaa mashitaka walikosea majina nk.