Natamani sana ningetokelezea pande hizo.... figganigga ila we Bujibuji bado hata sijapata la kukwambia... Ill be back
Hongera mkuu,hakika mwenye kisu kikali ndo anakula nyama.
Mwingine kashajihisi...
Nalo neno lakin,wengine sie tushazoea kumung'unya.Mwenye meno ndiyo anakula nyama, unaweza ukawa na kisu kikali ukawa unakata, lakini wenzako ndiyo wanakula.
Njoo na wewe basi nikuonje
Weka kazi yako na elimu yako kwanza ...
Si unajua huwa sichukui majoble..... malizia mwenyewe teh teh teh...
ss.Kwani k ina alama ya huyu educated,huyu illiterate?
Babu Asprin ODM hivi unakumbuka ulitoa spichi matratra sana!! we mkaareeeee sanaaaa
mkuu anayo yasema inaweza ikawa kweli sababu jana ilikua si mchezo. mimi jana nilikua na gundu. kila ninaye mtongoza ananichomolea hadi nikahisi nina mkosi. mimi tu ndo nlikosa lakini wakina Bujibuji, KakaKiiza, watu8, Jiwe Linaloishi waliondoka na mizigo haswa!. 😛oa: mia