T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,798
- 46,706
Sio mbaya wala sio mzuri sana. Pixel 6 Pro si kati ya simu zenye battery ndogo, ila bado kwa ukubwa wake ilitakiwa ipige hatua zaidi. Tatizo chip yake haitunzi chaji kivile. Kama ni suala la battery chukua 6 Pro, otherwise ni sawa na kuchukua Pixel 7 maana zinalingana camera kasoro 6 Pro ina lens ya kuzoom ambayo kwa 7 haina. Wakati 7 ina chip fast kidogo kuliko 6 Pro. 7 ni slim kuliko 6 Pro lizito linashikika kwa kutandaza vidole mkononi.Pixel 6 pro ukaaji wake na chaji ukoje mkuu?
Ha ha eti lizito, kwa 7 pro je ukaaji wake wa chaji?Sio mbaya wala sio mzuri sana. Pixel 6 Pro si kati ya simu zenye battery ndogo, ila bado kwa ukubwa wake ilitakiwa ipige hatua zaidi. Tatizo chip yake haitunzi chaji kivile. Kama ni suala la battery chukua 6 Pro, otherwise ni sawa na kuchukua Pixel 7 maana zinalingana camera kasoro 6 Pro ina lens ya kuzoom ambayo kwa 7 haina. Wakati 7 ina chip fast kidogo kuliko 6 Pro. 7 ni slim kuliko 6 Pro lizito linashikika kwa kutandaza vidole mkononi.
Nimewahi tumia Redmi fulani, ni simu namba moja kwa simu zote nilizowahi kutumia. Ile simu nilinunua kwa boom la field nikaongezea hela juu kwa kuuza simu yangu ya Oppo, simu ya pili kwa kupenda kwa simu nilizowahi tumia.Wanasema kila mtu na preference zake
Binafsi nimeitumia Xiaomi 12T Pro Kwa miaka 3 straight na ilikuwa perfect kwa matumizi yangu. Mimi kuwa shabiki wa Xiaomi ni dhahiri kwamba Xiaomi 12T Pro ilikuwa ni simu perfect na ilinifaa sana. Haikuwa na kipengele, na nilipanga nibadilishe mwaka huu miezi ya mwishoni.
Hata hivyo ulikuwa mpango wangu kujaribu kutumia simu za makampuni mengine. Sikujua tu ni lini nitanunua simu ya kampuni nyingine, hii imetokea ghafla, unexpected
7 Pro iko sawa kwa vyote. Sio nzito zaidi ya 6 Pro ingawa hazipishani sana kwa size.Ha ha eti lizito, kwa 7 pro je ukaaji wake wa chaji?
Ila camera yake ni moto?7 Pro iko sawa kwa vyote. Sio nzito zaidi ya 6 Pro ingawa hazipishani sana kwa size.
Camera inazidi obviouslyIla camera yake ni moto?
Ha ha haPole sana.
Niliwahi kupigwa s23 ultra kiliniuma kinyama. Walaaniwe wezi.
Daah wanakaba huko mkuu maeneo ya Ilemi na airport wanawakaba sana watu..Dah dunia imeharibika sana, hadi akina mwakasege wameanza wizi 😂
Nilikuwa natumia Xiaomi 12T Pro Kwa muda sasa ila majuzi usiku hapa Mbeya wahuni walinikaba na kunipora kila nilichonacho including my phone. Uzuri sikuwa na hela nyingi mfukoni kwa hiyo kitu cha maana walichooba kinachoniuma zaidi ni hiyo Xiaomi 12T Pro
Lakini nimeitumia for 3 years straight kwa hiyo sijahangaika kuitrack ikabidi ninunue simu ya kujishikiza chapchap lakini on limited budget.
Kuna rafiki yangu alinipa kasimu ka kujishikiza siku mbili tatu ila kalikuwa na uwezo mdogo
So nikafikiria ninunue Google Pixel 7A nitumie kwa muda kisha nitanunua simu nyingine huko mbeleni. Lakini baada ya kutumia hii simu kwa wiki moja na nusu hivi nimefuta mipango ya kununua simu nyingine hivi karibuni
Ile Xiaomi 12T Pro ilikuwa na better chipset, features nyingi kwenye software, slightly better display in my opinion na nilikuwa napenda, kwa matumizi yangu ilikuwa perfect
Lakini nilichogundua ni kwamba haina tofauti kubwa na Pixel 7A kimatumizi. Labda storage ile ilikuwa na 256GB hii ina 128GB.
Google Pixel 7A zilikuwa hazitunzi chaji sana ila baada ya ku update kwenda Android 16 inakaa na chaji kama tu ile Xiaomi yangu.
Nilipanga Pixel 7A iwe simu yangu ya muda mfupi ila kwa kuwa kwa upande wangu nimeona haina kasoro hata moja (kwa matumizi yangu) I think I'll keep using it for long time. It's just as perfect as Xiaomi 12T Pro
Hii nitakuwa makini nisiibiwe na nimekoma kuzurura usiku peke yangu 🙌
Also camera naona hapa kwenye Pixel 7A ni nzuri kidogo kuliko 12T Pro ila tofauti si kubwa sana
Sample photos hizi hapa chini. Hapa ni Mbeya actually
View attachment 3540990View attachment 3540991View attachment 3540992View attachment 3540993
View attachment 3540996View attachment 3540997View attachment 3540998
View attachment 3540995View attachment 3540994
.
.
Hii nimepiga jana saa 2 usiku with night sight off
View attachment 3540999
.
.
Na hii nimepiga baada ya kuweka Night Sight same location
View attachment 3541000
.
Mwisho nawashauri msipende kuzurura sehemu ambayo haina watu peke yake usiku. Mimi huwa nazurura sana usiku na napenda maeneo ambayo hayana watu ila baada ya kupigwa tukio, sijajaribu tena kwenda maeneo yenye ukimya usiku
Haya yote unatuambia sisi ili iweje?Nilikuwa natumia Xiaomi 12T Pro Kwa muda sasa ila majuzi usiku hapa Mbeya wahuni walinikaba na kunipora kila nilichonacho including my phone. Uzuri sikuwa na hela nyingi mfukoni kwa hiyo kitu cha maana walichooba kinachoniuma zaidi ni hiyo Xiaomi 12T Pro
Lakini nimeitumia for 3 years straight kwa hiyo sijahangaika kuitrack ikabidi ninunue simu ya kujishikiza chapchap lakini on limited budget.
Kuna rafiki yangu alinipa kasimu ka kujishikiza siku mbili tatu ila kalikuwa na uwezo mdogo
So nikafikiria ninunue Google Pixel 7A nitumie kwa muda kisha nitanunua simu nyingine huko mbeleni. Lakini baada ya kutumia hii simu kwa wiki moja na nusu hivi nimefuta mipango ya kununua simu nyingine hivi karibuni
Ile Xiaomi 12T Pro ilikuwa na better chipset, features nyingi kwenye software, slightly better display in my opinion na nilikuwa napenda, kwa matumizi yangu ilikuwa perfect
Lakini nilichogundua ni kwamba haina tofauti kubwa na Pixel 7A kimatumizi. Labda storage ile ilikuwa na 256GB hii ina 128GB.
Google Pixel 7A zilikuwa hazitunzi chaji sana ila baada ya ku update kwenda Android 16 inakaa na chaji kama tu ile Xiaomi yangu.
Nilipanga Pixel 7A iwe simu yangu ya muda mfupi ila kwa kuwa kwa upande wangu nimeona haina kasoro hata moja (kwa matumizi yangu) I think I'll keep using it for long time. It's just as perfect as Xiaomi 12T Pro
Hii nitakuwa makini nisiibiwe na nimekoma kuzurura usiku peke yangu 🙌
Also camera naona hapa kwenye Pixel 7A ni nzuri kidogo kuliko 12T Pro ila tofauti si kubwa sana
Sample photos hizi hapa chini. Hapa ni Mbeya actually
View attachment 3540990View attachment 3540991View attachment 3540992View attachment 3540993
View attachment 3540996View attachment 3540997View attachment 3540998
View attachment 3540995View attachment 3540994
.
.
Hii nimepiga jana saa 2 usiku with night sight off
View attachment 3540999
.
.
Na hii nimepiga baada ya kuweka Night Sight same location
View attachment 3541000
.
Mwisho nawashauri msipende kuzurura sehemu ambayo haina watu peke yake usiku. Mimi huwa nazurura sana usiku na napenda maeneo ambayo hayana watu ila baada ya kupigwa tukio, sijajaribu tena kwenda maeneo yenye ukimya usiku
Umemwambia nani?Sijakuambia wewe mkuu
Inayowahusu wana sticker usoni tuwatambue?Wengine ambao wamereply kuhusu mada huko juu
Inatakiwa ukiona mada haikufai unaachana nayo, maana yake haikuhusu
ACHA SIFA ZA KIPUUZI, KUNA MAFUTA.Haya yote unatuambia sisi ili iweje?