Nimeibiwa simu aina ya iPhone, naomba kusaidiwa namna ya kuipata

Nimeibiwa simu aina ya iPhone, naomba kusaidiwa namna ya kuipata

Mkuu tatizo ni kwamba hawezi kuitumia kwa namna yoyote bila details zako sana sana ataishia kuuza spea tu

Akiwa mshamba sana ndio anaweza kulazimisha kuweka laini yake hivyo hivyo na kama ana data itatuma taarifa kwenye Find My phone

Jaribu kui wipe ifute kila kitu akibahatika kuweka line yenye data au WIFI basi simu itajifuta kila kitu na kuanza upya kumpa nafasi aitumie ili uweze kumtrack kwa imei......, hii ni bahati nasibu tu
 
Back
Top Bottom