Nimeibiwa sim aina ya TECNO Camon 12. Nina Imei, nifanyeje niipate?

Hiyo Nunua simu mpyaa tu mzee baba, ingekuwa Samsung, Huawei(Qc) , Oppo, ungeipata.
Ila kwa tahadhari chukua imei namba na box lake nenda kituo cha polisi kitengo cha cyber watakusaidia.
 
Police wananiambia kumtafuta kila wakitafuta elfu80 wamesema nijipange asa nawaza hiyo ghaarama kuitoa kabla ya kifanikiwa jambo langu nisipoipata itakuwa hasara kwangu
Ndo bei, akipatikana unarudishiwa.Me jamaa yangu wa mtandao flani alinitrakia then tukaiona inakotumika tukaenda police tukatoa hiyo tukaenda mdaka mwizi.na hili haijalish alinunua ama laa
 
Pole sana asee ila kupata simu iloibiwa kibongobongo siyo rahisi sana. Huwa naskia angalau iphone na baadhi ya Samsung. Nilipoteza Galaxy J5(2016) wala sikujisumbua nkaamua kujipanga upya. Huko Tecno ndo kabisa mkuu usijihangaishe jipange upya ununue nyngne .
Inapatikana hata mimi nilikuwa ninadhani polisi wanazingua, kuna dada flani hapa jirani aliibiwa kitecno chake akaenda polisi nikawaninamwambia anapoteza muda. Wakamchomoa laki na ishirini baada ya wiki akapigiwa simu kuwa simu yake imepatikana na aliyeuziwa alikuwa anaishi Mbagala akaenda akapewa simu yake na aliyenunua wakamwambia amlipe pesa ya usumbufu lak na nusu kufidia hasara aliiyoipata
 
Basi tumtakie kila la heri afanikiwe nasi tupate somo.
 
Ila kuwa makini mkuu humu humu jf kunamatapeli aisije kudanganya mtu kwamb yeye sijui anarafiki alisaidiwa maana kuna mtu alitapeliwa humu humu

Cha msingi wewe nenda police angalau niuhakika kuliko police wa humu jf niwezi sana humu na nimeona kunakadalili Fulani ka utapeli hapa
 
Kabisa nami nimeona kuna dalili ya kulizwa humu awe makini sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom