Umeandika mwenyewe au umeandikiwa? Je unajua matumizi ya IMEI number? Simu ya ndugu yetu itapatikana tu cha muhimu afike polisi wampe utaratibuPole sana asee ila kupata simu iloibiwa kibongobongo siyo rahisi sana. Huwa naskia angalau iphone na baadhi ya Samsung. Nilipoteza Galaxy J5(2016) wala sikujisumbua nkaamua kujipanga upya. Huko Tecno ndo kabisa mkuu usijihangaishe jipange upya ununue nyngne .
Umeona eeKabisa nami nimeona kuna dalili ya kulizwa humu awe makini sana.
Pole sana asee ila kupata simu iloibiwa kibongobongo siyo rahisi sana. Huwa naskia angalau iphone na baadhi ya Samsung. Nilipoteza Galaxy J5(2016) wala sikujisumbua nkaamua kujipanga upya. Huko Tecno ndo kabisa mkuu usijihangaishe jipange upya ununue nyngne .
Mkuu, hio simu yako uliipata kwa kusaidiwa na mtandao wako tu au ulitumia njia gani?Mkuu hebu nenda na imei kwenye ofisi za mtandao ulikuwa unatumia.Waeleze then wataanza kui track watajua ipo wapi.Labda kama hawajui.Me nimepata simu yangu Nina siku ya 4 na nimelipwa
Wala hata usijaribu...hawana msaada kabisa.Hiyo Nunua simu mpyaa tu mzee baba, ingekuwa Samsung, Huawei(Qc) , Oppo, ungeipata.
Ila kwa tahadhari chukua imei namba na box lake nenda kituo cha polisi kitengo cha cyber watakusaidia.
Usikariri, mwelekeze sasa na akiipata aje kutoa ushuhuda hapa.Umeandika mwenyewe au umeandikiwa? Je unajua matumizi ya IMEI number? Simu ya ndugu yetu itapatikana tu cha muhimu afike polisi wampe utaratibu
Nimuelekeze kwa video au kwa lugha za ishara kama kiziwi?Usikariri, mwelekeze sasa na akiipata aje kutoa ushuhuda hapa.
Nipe mbinu ulifanyaje sisi wengine io 50000 hatuna tunataka mwiz ndio alipeMkuu hebu nenda na imei kwenye ofisi za mtandao ulikuwa unatumia.Waeleze then wataanza kui track watajua ipo wapi.Labda kama hawajui.Me nimepata simu yangu Nina siku ya 4 na nimelipwa
Unaipata cm yako.. mi nilimuuzia mtu j5 baada ya mwezi akakabwa akaibiwa. Akaja kuniomba imei nikampa akazipeleka polisi akatoa hela na ikapatikana fresh baada ya kama wiki 3 kikubwa uvumilivu na ufatiliaji. Mwizi yupo lupango mpaka leo hiiWapendwa nimeibiwa simu aina ya TECNO Camon 12. Nina Imei yake nawezafanyaje ili niipate?