Nimeibiwa samsung galaxy A21s ushauri namna ya kuipata

Nimeibiwa samsung galaxy A21s ushauri namna ya kuipata

Naomba ieleweke kuwa ...

1. Simu za Android zaweza kubadilishwa IMEI number.

2. Tanzania haina system ya kumtrace muarifu kujua nyumba anayoishi, yani kumfikia pale alipo hasa.

3. Simu itapatikana endapo IMEI namba haijabadilishwa. Akitokea mjanja akaibadili, basi ondoa kabisa wazo la kuipata hiyo simu ktk fikra zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Imei ikibadilishwa ...habari ya hiyo simu azifute haraka kichwani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilienda Oysterbay nikaulizwa thamani nikwambia ni Samsung A30s bei nikawambia 55000/= hadi leo eti awajaipata na emei nimewapa polisi wanafaulisha wenyewe inakuwa mali yao
Ushuri achana nayo kanunue nyingine hautaoipata kamwe Mark my word
Unamvunja moyo jamaa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kuna Android phones huwezi badili imei mfano Samsung S10
Sina uhakika ktk hilo ila niaminicho ni hiki, endapo madai yako yana ukweli. Basi ni suala la muda watu watakuja kujua namna ya kuibadili.

Suala la muda tu.
 
Kuipata inawezekana sana tatizo ni lazima utumuie hela nyingi ili wawe serious na jambo lako ni Bora ukanunue nyingune
 
Back
Top Bottom