Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,261
- 72,431
😂😂😂😂daaahAndika maumivu tu mlamu!
😂😂😂😂daaahAndika maumivu tu mlamu!
Imei zinabadilika?
Mganga anawatibu watanzania covidi ,kurudisha simu iliyopotea kazi ndogo sana. Watanzania corona ipo tuchukue tahadhari kubwa.Mganga anarudisha simu iliyopotea?[emoji848][emoji848][emoji848]
We utakuwa mkaraAndika maumivu tu mlamu!
We utakuwa mkara
Hujamuuliza hata muibiwaji yuko wapi nakimbilia tu kusema aende kwenye vituo vikubwa vya polisi kama msimbazi,je jamaa kama yupo chato aende msimbazi?kwanza uwe na loss report, pili nenda vituo vikubwa vya police kama msimbazi kuna wapelelezi watakusaidia kufanya tracking, mimi nimefanikiwa simu mbili kwa nyakati tofauti ila jiandae kuchangia mafuta ya gari.
Anaroga!Mganga anarudisha simu iliyopotea?[emoji848][emoji848][emoji848]
sijamwambia aende msimbazi, nimemwambia aende kwenye vituo vikubwa "KAMA" msimbazi mimi mwenyewe simu moja sijasaidiwa msimbazi na sio kuwa tanzania vituo vikubwa vipo dar tu.Hujamuuliza hata muibiwaji yuko wapi nakimbilia tu kusema aende kwenye vituo vikubwa vya polisi kama msimbazi,je jamaa kama yupo chato aende msimbazi?
Sawa,hapo amekuelewasijamwambia aende msimbazi, nimemwambia aende kwenye vituo vikubwa "KAMA" msimbazi mimi mwenyewe simu moja sijasaidiwa msimbazi na sio kuwa tanzania vituo vikubwa vipo dar tu.
Anaroga!
kwanza uwe na loss report, pili nenda vituo vikubwa vya police kama msimbazi kuna wapelelezi watakusaidia kufanya tracking, mimi nimefanikiwa simu mbili kwa nyakati tofauti ila jiandae kuchangia mafuta ya gari.
Naomba ieleweke kuwa ...
1. Simu za Android zaweza kubadilishwa IMEI number.
2. Tanzania haina system ya kumtrace muarifu kujua nyumba anayoishi, yani kumfikia pale alipo hasa.
3. Simu itapatikana endapo IMEI namba haijabadilishwa. Akitokea mjanja akaibadili, basi ondoa kabisa wazo la kuipata hiyo simu ktk fikra zako.
Sent using Jamii Forums mobile app