Nimeibiwa samsung galaxy A21s ushauri namna ya kuipata

Nimeibiwa samsung galaxy A21s ushauri namna ya kuipata

SISIS

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2019
Posts
11,128
Reaction score
3,740
Asubuhi ya leo nimeibiwa hiyo sim wakuuu najua jf kuna wataalam hapa nishaurini namna ya kuipata maana aliyeiba akipigiwa hapokei na hajaizima
 
kwanza uwe na loss report, pili nenda vituo vikubwa vya police kama msimbazi kuna wapelelezi watakusaidia kufanya tracking, mimi nimefanikiwa simu mbili kwa nyakati tofauti ila jiandae kuchangia mafuta ya gari.
 
Back
Top Bottom