Nimeibiwa pikipiki usiku Aina ya sanlg ndani nahisi kufa

Wakuu Leo Nina mwez na nusu Toka nimehamia mjini hapa biashara yangu bodaboda. Naamka asubui pikipiki sioni..

Mara ya mwisho mtu akiamka sa 9 aliiona pikipiki lakini cha Ajabu mlango umevunjwa pia.
Baada ya uchunguzi mfupi tu ni Kua Mwizi alipanda juu ya ukuta akashukia kwa ndani akaichukua pikipiki na kutoka nae getini.
Nje tumekuta kamba ya mnyororo tulihisi iliyotumika kuiburuza pikipiki.

Lakini pia Kuna mtu ndani usiku alisikia mtu anagonga lakini alihisi ni mtu yupo room kwake.

Kama Kuna mtu huku ndani anajua jinsi ya kuitraki pikipiki au namna ya kuipata aje anisaidie niweze ipata maisha yatakuja magumu sana hapa nilipo panga pamejaa simanzi Sana kwa tukio hiki. Sipigi picha kwa sababu za kiu salama lakini geti
limevunjwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana Kesho Kutwa nenda katoe taarifa polisi halafu hujaribu kufuatilia yawezekana hadi Kesho Kutwa ikapatikanA
 
Pole sana boss...Mimi hii boxer yangu inanipa kuishi daily aisee....yaana hata nikiiacha hatua kumi nyuma naona naweza pigwa....mkuu pole sana naomba ufanikiwe kuipata pia mkuu usiwe unalaza pikipiki nje boss wang

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa sanlg ikiwekewa kava, eksozi yenye tundu, zikatolewa spotlight, na ikarabati mwingine kidogo unaweza kuipanda wakati unaitafuta yako.


20% ya pkpk zinazopiga Boda ni za wizi, kaulize polisi pindi zikikamatwa huwa hazifuatwi hadi siku ya mnada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom