pilau mwenyewe sijaliona. skukuu ya safar hii imekaa kushoto kweli. lol
Unaguna nini msaidie mwanaume mwenzio....
Yupo kwangu
eeh kumbe umo na wewe..
umewapanga wangapi?
Lazma umkumbuke mwanangu. Yaani mie na my son kama mama almasi na hubby ake wema lol
ulikula hadi hii kitu? 0713 kama hujatumia hii basi kamtafuta mtu atumie hio pia so usijali atarudi marinda hatokua nayo lakini.!!!
Nimetoka safari juzi kufika tu nyumbani nkaambiwa na majirani mimi tu nilivyosafiri wiki jana nayeye aliondoka nyumbani lakini nikiwa safarini tulikuwa tukiwasiliana vizuri.
Jamani nifanyaje mwenzenu mana sasahivi hata simu haipatikani uzuri ufunguo aliacha kwa majirani na hajaiba kitu chochote.
Ila mimi nakonda nani kaniibia mke wangu jamani.
mke au hawala?
KIMADA tuu huyo alikuwa.