Nimeibiwa mke wangu nateseka mie

ameibwa au kafuata dume mwenyewe kwan mlango umevunjwa?
 
Oa mke mwingine shida iko wapi!ukiona vipi kula ganzi.
 


Mimi ni kijana mwenye miaka 29 sijawahi kufanya mapenzi hata siku moja ila kuna mpenzi nimepata ndo nataka ni do naye nianzaje vile.
 

njoo getoni kajaa tele
 

Kumbe mkeo hajakwambia basi mimi nakwambia jitume mkuu goli ndogo wacha kulalamika kwenye mitanDao
 
namkunaga vizuri mpaka anaomba po

Ndio hata kama unamkuna vizuri, lakini tabia ya kula wali kila siku hata kama ni mtamu hitatokea siku utataka kujua ladha ya kuku na yenyewe ikoje?
 

Mawazo yako tu yanaweza kuwa mabaya, kuna uwezekano mkeo akawa ameenda kuwatembelea wazazi wake mara moja lakini kosa alilofanya ameondoka bila kuaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…