Nimeibiwa mke wangu nateseka mie

Nimeibiwa mke wangu nateseka mie

TOMEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
588
Reaction score
118
Nimetoka safari juzi kufika tu nyumbani nkaambiwa na majirani mimi tu nilivyosafiri wiki jana nayeye aliondoka nyumbani lakini nikiwa safarini tulikuwa tukiwasiliana vizuri.

Jamani nifanyaje mwenzenu mana sasahivi hata simu haipatikani uzuri ufunguo aliacha kwa majirani na hajaiba kitu chochote.

Ila mimi nakonda nani kaniibia mke wangu jamani.
 
nimetoka safari juzi kufika tu nyumbani nkaambiwa na majirani mimi tu nilivyosafiri wiki jana nayeye aliondoka nyumbani lakini nikiwa safarini tulikuwa tukiwasiliana vizuri,jamani nifanyaje mwenzenu mana saivi hata simu haipatikani uzuri ufunguo aliacha kwa majirani na hajaiba kitu chochote.ila mimi nakonda nani kaniibia mke wangu jamani
Saiz anakula dushe la mbishi huko aliko.
 
Atakua anafanya biashara sehemu nyingine tu huyo.
 
nimetoka safari juzi kufika tu nyumbani nkaambiwa na majirani mimi tu nilivyosafiri wiki jana nayeye aliondoka nyumbani lakini nikiwa safarini tulikuwa tukiwasiliana vizuri,jamani nifanyaje mwenzenu mana saivi hata simu haipatikani uzuri ufunguo aliacha kwa majirani na hajaiba kitu chochote.ila mimi nakonda nani kaniibia mke wangu jamani

Dah, pole sana kaka! Nadhani alikuwa 'anakulia taiming' uondoke naye atimke. Nakuombea kila la kheri umpate mkeo, lakini jitahidi urekebishe mambo ndani ya nyumba, yawezekana kuna tatizo.
 
Mkuu unakumbuka threads zako za nyumaa....???

Usichezee sana akili za watu.
 
Dah, pole sana kaka! Nadhani alikuwa 'anakulia taiming' uondoke naye atimke. Nakuombea kila la kheri umpate mkeo, lakini jitahidi urekebishe mambo ndani ya nyumba, yawezekana kuna tatizo.
asante kaka
 
mke wa ndoa au wale wa kuvuta tu mnasaidiana kula sembe fafanua vizuri?
 
Back
Top Bottom