Nimeibiwa iphone

HEY WANA JF KWA KUA HAPA KUNA WATU WAZIMA NA WENYE AKILI ZAO TIMAMU MIMI NAPENDEKEZA KUA HUYU MWENZETU KWA KUA ANAKUJA KUTUPIMA IMANI BHASI NAWAOMBENI TU TUWEZE KUMTIZAMA KILA ANAPOPOST VITU VISIVYOELEWEKA NAIMANI ATAACHA TU
 
upi huo
 
Hujitambui kama wajitambua basi wewe ni complicator mkulu mmoja ameorodhesha utitiri wa thread zako zinazo relate ndio maana nimekushauri kua ni vema na busara kama lengo pengine ni kujifunza kuhusu hizi simu za iphone ujifunze kupitia kuuendeleza uzi ambao tayari umeshajadili mambo hayo kwa kina ni special for iphones na si kuzid kukuza mlolongo huku
TUNDA LINAFANYA VIZURI BWANA ASIKWAMBIE MTU
 

Attachments

  • WP_20170308_16_47_54_Pro.jpg
    44.6 KB · Views: 39
Mpuuze tu mkuu kwanza ni mtoto wa 20 years sijui anajifunza simu
 
Raphael gadau unatuona sisi wajinga, shezi kweli sitohangaika kuchangia uzi wako wowote.
 
jamani naombeni msaada nimeibiwa simu yangu aina ya Iphone 6S+ nahitaji kuifunga hii simu au kuipata

Mkuu hiyo simu uliyo ionesha hapa sio iphone 6s+ unanipa mashaka juu ya tukio husika au umetumia picha ya cm nyingine
Iphone 6s 6s+ zinakuwa na alama ya S chini ya neno iphone
Lakin kama kweli umeibiwa unaweza ipata kwakufanya ifuatavyo
Tumia computer au cm nyingine ingia icloud ac yako, ikikupa tabu ungia www.apple.com hapo unaona option ya icloud, ingia kwa kutumia ac yako kisha fungua find my iphone.
Ukisha ingia active loss mode kwanza ili kuongeza usalama wa cm yako.
Baada ya hapo andika ujumbe mfupi na utume kupitia find my iphone na ujumbe wako usiseme kuwa cm yako imeibiwa hauta ipata mtu anaweza hata itupa kuliko kupata kesi
Bali sema cm hi imepotea yoyote atakayo ipata nitampa laki 100000 kwa kunisaidia kuipata cm.
Kwanin laki moja, iphone nying mafund wananunua elfiu 50 au pungufu kwajir ya spare tuu we ukisema laki utakuwa umempa nguvu ya kukutafata kwa kuandika na no yako ya cm.
Hapo utachelewa ila utaipata tu.
Hata fundi akiichukua akiona ujumbe wako atakutafuta
 
Anapenda iphone ila hana uwezo nazo akiona picha tuu anatunga uwongo wake
Maana hata kuzijua hazijui
Nasikitika nimetumia nguvu kumshauri kumbe mshen..z kabisa
Pole sana mkuu
 
sante mkuu
 
sante mkuu niingie kwa simu ya iphone au hata ya androd tu
 

Kamwe amna mtu hapa Tanzania anaeweza ku-unlock Iphone kuanzia 4s na kuendelea.
 
Ingia iCloud - Find My iPhone, iPad, and Mac. - Apple ingiza account yako ya iCloud then utakuta options kama track my iPhone hapo utaona location aliopo kabla ajazima hiyo simu,pili kuna erase all data hapo utafuta data zote kwenye simu,simu itakua kama kopo na uyo mtu ataweza kufanya chochote. Sehemu ya tatu utakuta activate loss mode hapo itaongeza security ya simu na kukutumia location ya simu sehemu ilipo na pia itapiga kelele kama bado iko on.
 
call me bashite75259222222 ni muuzaji wa iPhone na vitu vinginevingine pale mtaa wa kongo
 
ahsante
 
Hivi bado kuna watu wanaendelea kumpa ushauri huyu fundi simu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…