Aman kwenu,,
tulianza kama 'just friends'
bada ya outing mbili
mwanume nikafunguka
nikaambiwa am in 'no no zone' coz ana mtu wake,
bas sikukata tamaa
outing baada ya outing
siku ikafika outing hadi bed baada ya heavy drinking and partying hard (thou me nilkuwa fit cause i planned everything)
binti kuamka yupo kifuani
basi tukaliendeleza since then
penzi la wizi likanoga binti hamtaki tena jamaa yake(nilwahi argue na jamaa over the phone wakati penzi lao ndo linaelekea kufa jamaa alitishia hadi kuniuua but hadi leo kimya)
thou mwanzoni nilifurahii
but now nmerealize siwez ku settle coz nakuwa insecure mostly
nisipokuwa naye,
naogopa kilicho mkuta mwenzangu na mim kisije nikuta
nikapanga kumtia kidochi kimya kimya
nikapunguza mawasiliano na outing za kila week
but mtoto bado moto haushuki
am guilty kwa kuvunja penzi la watu
but sio dem wa maisha yangu pia,
nafikiria njia gani rahisi ya kuachana naye ili kusiwe na hard feelings
plz mawazo yetu wadau niwezeachana na huyu binti peacefully