Nimei-miss avatar yangu!

am admiring GOD's creation! lolest! nimeipenda pia x- avatar yako Nyetk.
 
imeshachukuliwa bila shaka
kuna wakati naiona humu
jamvini.

hata ya sasa siyo mbaya
ila unachokipenda wewe
ni kama kinajieleza kama mtu akiangalia hizi avatar zako kwa makini.

Ndugu yangu yaani natamani kuirudia lakini nikikumbuka nilivyokuwa nabarazwa sina hamu.
 
imeshachukuliwa bila shaka
kuna wakati naiona humu
jamvini.

hata ya sasa siyo mbaya
ila unachokipenda wewe
ni kama kinajieleza kama mtu akiangalia hizi avatar zako kwa makini.
Wewe ni yupi katika hiyo avatar yako; au umeivaa tu?
 
Hapana Nyetik! Hiyo avatar naifahamu ina username ya Nduu/Mamaya. Ni wewe?

hii nilikuwa naitumia mimi,ila ameifanyia editing(cut).hiyo avotor wamesimama watatu.,hiyo picha ya avotor huyo jamaa kuna nyingine kapiga akiwa na bibi harusi huku katundika suti,avataor yake aliwahi huitumia baby. Mi watu walikuwa wananisema sana na hiyo avotor wakitaka niibadilishe akiwemo bak,ndipo nilipoamua kuchange na kuweka hii ninayotumia sasa ambayo ni picha yangu halisi.
 
nduu/mamaya, tafadhali nitumie anuani yako b'coz am gonna bill you for patent rights violation! Utajipatiaje umaarufu kwa kutumka our family identity?

That was bytheway. But mkuu umegundua kuwa at times avatar tunazotumia zinawa-influence watu wawe either aggressive au polite ktk kujibu ulichoandika? Hii mimi nimeiona na infact ndiyo agenda hasa ya thread hii. Have you noticed?
 
Mbona mimi bado na swaga tu? Mimi my wife akishaipenda hata uikatae vipi siibadilishi
 
Mbona mimi bado na swaga tu? Mimi my wife akishaipenda hata uikatae vipi siibadilishi

Mkuu hiyo ya kwako hadi mtu akutukane mpaka afikirie mara mbili. Maana utadhani uko mgongoni kwake unataka kumtia kabali. Tatizo avatar yangu sijui ilifanya nionekane zezeta?
 
Hivi mkuu mna ukoo na hii njemba?

stephen-wasira.jpg images (10).jpg View attachment 55244

Au damu zenu ziliwahi kuchanganyika katika historia?
 
Hivi mkuu mna ukoo na hii njemba?

Au damu zenu ziliwahi kuchanganyika katika historia?

Mkuu Mlitika katka hili kama vile umepitiliza; ha ha haaaa!
Anyway, n'nachojua ni kwamba asili yetu wote ni ng'ambo ya pili ya kampaka ketu ka kaskazini, si unajua akina kibaki walikuwa "voted the most funny looking people in the world!"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom