Nimei-miss avatar yangu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimei-miss avatar yangu!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Nyetk, May 30, 2012.

 1. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Mwanzo kabisa nilikuwa natumia hii

  HB's.jpg

  Sasa nikagundua kila nachoandika watu wananishambulia na kunitukana bila hata sababu, nakwambia wakawa wanani-embarrass hadi wakanisababishia BAN! Nikafikiriii! Nikagundua hawa hawajaipenda sura yangu wanadhani mi zezeta. Nilivyobadili tu sijashambuliwa wala kutukanwa na mtu tena! Nikasema aaahaaaa!
   
 2. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ha ha ha haaa! Pole mkuu! Kweli some people judge a book by its cover. Kuna wajanja wameweka attractive avatars za videmu utaona wanachukiliwa very politely. Kumbe hawajui on the other end wanachati na njemba.
   
 3. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Si ndo hapo? Ha ha ha haaaa!
   
 4. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,135
  Likes Received: 945
  Trophy Points: 280
  Hapana Nyetik! Hiyo avatar naifahamu ina username ya Nduu/Mamaya. Ni wewe?
   
 5. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Inaonekana nilipoitosa wengi wameiokota. Leo nimeona mmoja anaitwa "Simchezo" ameitinga.
   
 6. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #6
  May 30, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  khe!mbona ilikuwa zuri sana,nimependa mwanya wako na uko so natural hujatumia mapouuuuuder
   
 7. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Asante kulthum. Mimi mwenyewe najitambua jinsi nilivyo m-handsome. Sasa sijui wengine walikuwa wananionaje? Labda rangi yangu sijui? Si unajua tena kasumba ya wabongo kupenda rangi ya wazungu?
   
 8. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #8
  May 30, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Nimeishia kucheka tu na vijimambo vya humu.
   
 9. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #9
  May 31, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mkuu,
  Kwa haraka-haraka nilidhani umeweka image ya goti !
  Baadae nika'recognise ni sura!
  Nna imani siku ikitokea unakamuliwa jipu, au unang'olewa jino na hii sura ikaleta image ya wound pain suffering itakua nzuri kupita hapo .
   
 10. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #10
  May 31, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Hivi mi avatar yangu ikoje vile...
   
 11. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ulivoweka iyo white kala watu chaliiiiiii si unajua tena
   
 12. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #12
  May 31, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  iko kitoto toto mnoooooo ivo mtu hata anajishtukia kukushambulia
   
 13. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #13
  May 31, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  hahahaa
   
 14. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #14
  May 31, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,294
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  avatar yako inaonyesha katoto machepele sana...
   
 15. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #15
  May 31, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha haaaa! Mkuu usinipasue mbavu. Sasa kwetu mimi ndiyo hendisamu. Angalia hapa niko na ndugu zangu.

  HB.jpg

  Kushoto kwangu ni kaka yangu na kulia kwangu ni ba' mdogo
   
 16. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #16
  May 31, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Cute we acha tu. mitusi yote kwishiney! Unaambiwa nilikuwa nabarazwa hata na mademu humu JF. Afu wangejua mtaani ninavyopendwa?
   
 17. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #17
  May 31, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Umeishia kucheka nini sasa na wewe; hoja wa watu au sura za watu?
   
 18. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #18
  May 31, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tobaaaa!
   
 19. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #19
  May 31, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Toba nini na wewe? Acha longo longo, kama umependa mbegu mtume mkeo.
   
 20. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #20
  May 31, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Yes!
  Huu ndiyo ukoo wa kuoa , hebu tuwekee picha za madada zako, nimposee mdogo wangu.
   
Loading...