Nimehitimisha, hakuna sehemu Tanzania hii nyama inaliwa kuliko mkoa wa Arusha

Achana na population, watu wanaweza kua kumi (wakazi wa hapo Dar) wakala chakula kinacholiwa na mtu nyingine tatu tu za Mbeya.

TENA NYIE VIANAUME VYA DAR NA SURUALI ZENU CHINI YA MAKALIO MNASHINDIA CHIPS YAI AU CHAPATI MOJA NA JUICE ndio mle nyama kuliko wameru na wamasai.

utoto wa Dar raha sana

Finland yenye population ya 5.6 mill ndio kinara wa kunywa kahawa duniani huku Tanzania ikiwa na population ya zaid ya 60 mill lakini hata top 50 haimo.

Congo ni kubwa zaidi ya mara 30 ya Israel lakini Israel inazalisha ngano, mboga mboga na matunda zaidi ya linchi lote la Congo. Educate yourself buda
Sawasawa
 
Naunga mkono hoja,,dar maisha magumu watu wanateseka sana eti mtu ananunua nyama robo kwel?...mm niko na mke wangu na madogo wawili tunapiga 1.5kg kila baada siku tatu tunaitwa wafujaji wa uchumi na majirani
Unajua hesabu za kugawanya kweli?

Huyo anayenunua robo na nyie wanne mnaonunua 1.5kg kila baada ya siku tatu nani ana hali mbaya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja,,dar maisha magumu watu wanateseka sana eti mtu ananunua nyama robo kwel?...mm niko na mke wangu na madogo wawili tunapiga 1.5kg kila baada siku tatu tunaitwa wafujaji wa uchumi na majirani
Kiafya kilo moja ya nyama iliwe na watu 8 ila nyie ngozi ya tako ndio mnaona ufahari kula nyama nyingi ndio maana kichwani hamna maarifa
 
Achana na population, watu wanaweza kua kumi (wakazi wa hapo Dar) wakala chakula kinacholiwa na mtu nyingine tatu tu za Mbeya.

TENA NYIE VIANAUME VYA DAR NA SURUALI ZENU CHINI YA MAKALIO MNASHINDIA CHIPS YAI AU CHAPATI MOJA NA JUICE ndio mle nyama kuliko wameru na wamasai.

utoto wa Dar raha sana

Finland yenye population ya 5.6 mill ndio kinara wa kunywa kahawa duniani huku Tanzania ikiwa na population ya zaid ya 60 mill lakini hata top 50 haimo.

Congo ni kubwa zaidi ya mara 30 ya Israel lakini Israel inazalisha ngano, mboga mboga na matunda zaidi ya linchi lote la Congo. Educate yourself buda

Hii ni kata funua . Tena kahawa yenyewe inalimwa hapa hapa nchini, mbinga, mbozi, kagera huko, moshi na arusha kidogo.

Ulichokiona ni sahihi Arusha na kuongezea na Moshi kula nyama ni kama maji vile.

Hukuti nyama ikilala asee, kuna baadhi ya vijiwe ukifika saa 12 nyama ishakata.

Naunga mkono hoja, watakuwa wanashika namba 1. Hizo idadi za ng’ombe sio zote zinabakia Dar.
 
Hakuna mnyama anaekula nyama akawa mpole,nyoka,simba,chui,mbwa,fisi nk.
Nyama inachochea homoni za hasira mwilini.
Naomba article yake (au thesis ya utafiti-kama unayo) ili nijisomee taratibu. Siyo kwamba nakupinga, la hasha! Ila nataka nijisomee taratibu Ili niongeze uelewa.
 
Search Google.But nilisoma mahali ng'ombe anapopigwa au chinjwa Pana kemikali Huwa anaitoa ili isambae kwenye eneo jeraha ili ikate maumivu,so hio kemikali Huwa inasambaa kwenye nyama HIVO ukila nyama unakula na hio kemikali inayosababisha hasira na ukali,thus rastafarian hawali nyama ili kuepuka hasira.
Tazama makabila ya wafugaji au wanakaa karibu na wafugaji ambao ni walaji wakubwa wa nyama wengi Wana hasira,wakali, wakorofi case study maasai,wakurya,wameru,waarusha,wachaga nk
 
Acha bange kijana, unataka useme mifugo inayochinjwa Dar kwa siku haifiki hata robo ya Arusha?.

Population ya Arusha ni 2.5M wakati Dar ni 7.5M.

Utoto raha sana
Dar asilimia kubwa wanakula dagaa wauchungu!
Ukiwauliza watoto mboga ya Jana wanakwambia tumelia samaki!; mama katugawia samaki.6 sita
 
Achana na population, watu wanaweza kua kumi (wakazi wa hapo Dar) wakala chakula kinacholiwa na mtu nyingine tatu tu za Mbeya.

TENA NYIE VIANAUME VYA DAR NA SURUALI ZENU CHINI YA MAKALIO MNASHINDIA CHIPS YAI AU CHAPATI MOJA NA JUICE ndio mle nyama kuliko wameru na wamasai.

utoto wa Dar raha sana

Finland yenye population ya 5.6 mill ndio kinara wa kunywa kahawa duniani huku Tanzania ikiwa na population ya zaid ya 60 mill lakini hata top 50 haimo.

Congo ni kubwa zaidi ya mara 30 ya Israel lakini Israel inazalisha ngano, mboga mboga na matunda zaidi ya linchi lote la Congo. Educate yourself buda
Punchline za kutosha, uyu lazima alie amini nakwambia.
 
Acha bange kijana, unataka useme mifugo inayochinjwa Dar kwa siku haifiki hata robo ya Arusha?.

Population ya Arusha ni 2.5M wakati Dar ni 7.5M.

Utoto raha sana😭😭
Wingi wa mifugo kuchinjwa si wingi wa nyama iliwayo na mtu mmoja, Dar mtu hula robo kilo kwa siku nne wakati Arusha mtu hula kilo mbili kwa siku nne.
 
Back
Top Bottom