sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,851
- 11,438
Kumbe ulikuwa unahamasisha vitu vya kipuuz hvyo huna faida upinzani wwNilikuwa nahamasisha kudeki lami wakati tunampokea bwana luwasa
Kumbe ulikuwa unahamasisha vitu vya kipuuz hvyo huna faida upinzani wwNilikuwa nahamasisha kudeki lami wakati tunampokea bwana luwasa
Ulipotoka na ulipoingia.Picha ya nini
Ndyo hukuwa na impact huko ndyo maana ulikuwa unafnya kaz za kipuuziNdo mana nakuambia nilikuwa nafanywa zuzu bila kujitambua na kama ningeendelea 2020 ningekuwa nadeki hewani ili wapite na hellcopter yao
Wewe unalaana chama kina miaka 60 madarakani kimeshindwa kukuletea maendeleo, leo mwaka mmoja kinaweza kukuletea maendeleo?Kuna ngombe anayeweza kuandika??
Kwa reply yako imenifanya nimshukuru mungu kuondokana na ujinga ulio nao
Hata yeye siyo msafi, waulize maafisa walifanyanaye kazi Chatto akiwa Waziri.Kinachoshangaza ni kila mwanaccm kujisifu wakati anayefanya ni magufuli kama yeye, hata akina rugemalira na singh walioswekwa lupango ni wanaccm.
Hii yaonesha jinsi gani msafi ni magu peke yake ndani ya ccm na kwamba akikaza atajikuta wana ccm wote wameishia lupango na amebakia peke yake nje!