Nimehama Simba rasmi

Nimehama Simba rasmi

Scared

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,848
Reaction score
17,506
Nikiwa na akili zangu timamu natangaza kuihama hii timu isiyojielewa naepuka kuwa mjinga Kwa kuishabikia hii timu wakati wenzetu Yanga wanatambulisha vifaa vya kazi sisi tunahesabu hasara za msimu uliopita nimegundua timu yetu imejaza mashabiki mbumbumbu waliogeuka kuwa.

Chawa wa viongozi na kingine kilichoniuma ni kuchezea vichapo mfululizo kutoka Kwa yanga kupelekea matatizo ya ki afya kutokana na ushabiki wa hii timu Sasa hivi nimeacha kuishabikia nimeamia kufocus na kujiongezea kipato nimebakia kushabikia timu mbili tu Liverpool FC na FC Barcelona nimekataa kuwa mjinga nimemaliza kuchoma jezi zote 8 za simba mda huu
 
Chama langu linafikirisha saaana aiseee, watawala watusumbue na hawa wajinga wajinga wengine waliojipa mamlaka kwenye timu nao wanatusumbua
Yanga anamiaka zaidi ya 5 na zaidi kutawala soka la tanzania manara si mjinga kusema watawala miaka 10 hivyo bado 6 kama alivyosema
 
Mimi kuanzia sasa ni shabiki wa simba. Nitakuwa kwa mkopo ili kuongeza nguvu ya malalamiko kwa mwekezaji na mwenyekiti Mangungu. Mashabiki tusilale mpaka kieleweke.

Yaani ni ubaya ubwela kwa kwenda mbele, na siyo kwa kurudi nyuma.
 
Binafsi sijaacha kuishabikia simba ila naungana na Mchome, jamaa anaongea ukweli lakini mashabiki wanang'ang'ana huyu katumwa na yanga
 
Nikiwa na akili zangu timamu natangaza kuihama hii timu isiyojielewa naepuka kuwa mjinga Kwa kuishabikia hii timu wakati wenzetu Yanga wanatambulisha vifaa vya kazi sisi tunahesabu hasara za msimu uliopita nimegundua timu yetu imejaza mashabiki mbumbumbu waliogeuka kuwa.

Chawa wa viongozi na kingine kilichoniuma ni kuchezea vichapo mfululizo kutoka Kwa yanga kupelekea matatizo ya ki afya kutokana na ushabiki wa hii timu Sasa hivi nimeacha kuishabikia nimeamia kufocus na kujiongezea kipato nimebakia kushabikia timu mbili tu Liverpool FC na FC Barcelona nimekataa kuwa mjinga nimemaliza kuchoma jezi zote 8 za simba mda huu
Wakati unaanza kuipenda Simba, ulifanya hivyo kwa hiari yako na unaondoka kwa hiari yako. Kila la heri!!
 
Back
Top Bottom