Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 24,504
- 32,921
Bado hujasema 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nimekataa kuwa mbumbumbu
Bado hujasema 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nimekataa kuwa mbumbumbu
Ndio nishahamaUtahama timu ngapi mkuu? Maana Kila timu duniani zinapitiaga vipindi vigumu na vya mpito
Ahsanteee na wewe kuwa miongoni mwa wajinga wasiojielewaSiwezi kuchangia timu ya wajingana
Wajinga na masikini kama wewe ndio mtaji wa MOAhsanteee na wewe kuwa miongoni mwa wajinga wasiojielewa
Before ya wewe kujitambua ni mjinga ulikuwa nani?Wajinga na masikini kama wewe ndio mtaji wa MO
VIONGOZI wa Simba hawajali feelings za Fans wao.Nikiwa na akili zangu timamu natangaza kuihama hii timu isiyojielewa naepuka kuwa mjinga Kwa kuishabikia hii timu wakati wenzetu Yanga wanatambulisha vifaa vya kazi sisi tunahesabu hasara za msimu uliopita nimegundua timu yetu imejaza mashabiki mbumbumbu waliogeuka kuwa.
Chawa wa viongozi na kingine kilichoniuma ni kuchezea vichapo mfululizo kutoka Kwa yanga kupelekea matatizo ya ki afya kutokana na ushabiki wa hii timu Sasa hivi nimeacha kuishabikia nimeamia kufocus na kujiongezea kipato nimebakia kushabikia timu mbili tu Liverpool FC na FC Barcelona nimekataa kuwa mjinga nimemaliza kuchoma jezi zote 8 za simba mda
Uto kama utoWajinga na masikini kama wewe ni mtaji wa MO