Nimehama rasmi Manchester United na kujiunga na Liverpool

Daah mi siwezi hama kabisa yani kama nimerogwa ni bora niache kuwa mshabiki na mpenzi wa mpira na sio kuhama
 
watu kama wewe ni mashabiki "kanjanja", "poyoyo" au "maandazi"........


huwezi kulitatua tatizo kwa kulikimbia....utakuwa umeanza kushabikia mpira juz.......

nothng you knw abt fbal!
liva kaanza kupata mwanga baada ya uwekezaji mkubwa ndo unawatamani ? waulize mashabiki wa liva walivyokula msoto baada ya kuchukua ile UEFA baada ya kufanya come back ya maajabu....baada ya hapo hawakuwahi kushinda kombe la maana
...still mashabiki wakawa wapole na wavumilivu this time wanaonyesha mwanga unashoboka........

la mwisho man utd na liver ni rivals wa asili ktk EPL tangu enzi na enz......na huwa ndio mechi kubwa kuliko derbies ....kutokana na ukubwa wa mechi yenyewe huwa mara nyingi mechi ya man na liver inapewa ratiba ya mchana kwa sababu za kiusalama zaidi......

utashangaza wengi kutoka man utd na kuhamia liver
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom