Nimehama rasmi Manchester United na kujiunga na Liverpool

Mimi The Book nikiwa na akili timamu natangaza kuwa;Kuanzia leo nimeacha kushabikia Man United na kuwa nimeanza kushabikia Liverpool 'The Reds'.

Ahsanteni
View attachment 870368

YOU WILL NEVER WALK ALONE
Hamnaga shabiki was mpira anahama timu,. Unaweza kuacha mke lakini siyo kuhama timu. Ni habari nyingine kabisa. Wewe siyo shabiki.
Kama ndiyo hivyo basi arsenal ingekua haina shabiki hata mmoja.
Wee wacheki wanakonda Kama hawali lakini hawahami. !!!!!!!
 
Karibu sana,ingawa najuasio wewe sio shabiki wa kudumu,isijeikawa kilichokutoa huko Kama kitakubakiza huku.
 
Hamnaga shabiki was mpira anahama timu,. Unaweza kuacha mke lakini siyo kuhama timu. Ni habari nyingine kabisa. Wewe siyo shabiki.
Kama ndiyo hivyo basi arsenal ingekua haina shabiki hata mmoja.
Wee wacheki wanakonda Kama hawali lakini hawahami. !!!!!!!
Ushabiki wa mpira, ni kama KABILA. Utahama DINI, lakini si KABILA! Kwa uamuzi huo, jamaa si MSHABIKI WA MPIRA!
 
Hamnaga shabiki was mpira anahama timu,. Unaweza kuacha mke lakini siyo kuhama timu. Ni habari nyingine kabisa. Wewe siyo shabiki.
Kama ndiyo hivyo basi arsenal ingekua haina shabiki hata mmoja.
Wee wacheki wanakonda Kama hawali lakini hawahami. !!!!!!!
hakuwa shabiki huyoo na kama alikua shabiki basi shabiki maandazi, mimi hata uniwekee kisu shingoni siwezi hama timu yangu, nitaumia tuu na kichapo ila timu sihami....hata tupigwe kumi hata tushuke daraja hukohuko nitaifuata,unahamaje timu,timu ni zaidi ya imani kwa mpenda mpira...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom